Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Wapi hapa, kijani nzuri sana
😀😀😀😀 sema ukiwa nae.. kuna raha.. kuna ile unafika mida mibayaa sanaaa umechokaa hutamani hata movement.. kUnakuja nae tu, Kassim Mganga alisema kikubwa Cha Barlbou,kidogo Cha Mimi nawe.
😀😀😀 mkuu huku ndio tunakujaga na mali za watu..Lushoto hiyo
Magoroto kupo overrated sana huko Ukienda unakuwa Spotted na wengi. Huku Pangani ni Utu na utulivu- Alikiba😀😀😀 mkuu huku ndio tunakujaga na mali za watu..
Magoroto ni brand.. kuna maeneo ukifika kama upo mbingu za mbinguni 😀😀Magoroto kupo overrated sana huko Ukienda unakuwa Spotted na wengi. Huku Pangani ni Utu na utulivu- Alikiba
Yes kama Msimbati Beach ya MtwaraMagoroto ni brand.. kuna maeneo ukifika kama upo mbingu za mbinguni [emoji3][emoji3]
Shukrani tutafika.. Hizo Boti mnazounda zinatumia engines!!?Wadau wa Road Trip Karibuni Mkwaja karibu na gate number 1 Saadani National Park. Ndipo Shughuli zetu za kuunda Boti zinafanyika. Manaopita kutembelea Kijongo Beach,Barry Beach,Tent with View na Saadani Hotel karibuni.
Njia ya nzuri hata Kwa Watu wa gari za chini (Sedan) ni ya Mkata.View attachment 2164564
Ndio, ukiisha Kuwa kasha la boti(Hull) kufunga hiyo Injini ya 1HZ inawezekana hapo kitakachobadilishwa ni gearbox itabidi tuweke marine gearbox Yenye ratio sawa mbele na NyumaShukrani tutafika.. Hizo Boti mnazounda zinatumia engines!!?
Kuna uwezekano wa kufunga 1hz kwenye boti..!!?
Kuna mzungu alitaka kufunga injini ya Discovery V8 Petrol 3.5L kwenye boti ametoka kipindi Cha COVID-19 tukashindwa kufanya nae kazi.Shukrani tutafika.. Hizo Boti mnazounda zinatumia engines!!?
Kuna uwezekano wa kufunga 1hz kwenye boti..!!?
Castrol 5w30 na SAE 40, Bei zake zipoje hapo Mkuu?Wanaiba namna hii,..unaweza kumpa hela ukamwambia anunue mfano Castrol 5w30, ukiondoka yeye anaweka SAE 40 ambayo amenunua bei chee...anatafuta dumu tupu la oil uliyopendekeza anakuwekea kwenye buti.....
Anabakiwa na hela nyingi tu....wahuni wale
ZF Bimmer wanazitumia hizo..Kuna mzungu alitaka kufunga injini ya Discovery V8 Petrol 3.5L kwenye boti ametoka kipindi Cha COVID-19 tukashindwa kufanya nae kazi.
Kwenye injini za Land Rover gearbox ya marine ZF inafunga bila kugusa sehemu yoyote
Castrol 5w30 lita 5 mkuu kwa sasa ni laki na pesa kama sikosei... inategemea unanunua wapi..Castrol 5w30 na SAE 40, Bei zake zipoje hapo Mkuu?
ZF kwenye Marine gearbox na propulsion ni Kampuni kubwa ingawa Kuna wakina Rolls Royce. ZF is the best in all worksZF Bimmer wanazitumia hizo..
Kwenye Boti nini muhimu zaidi.. HP au Torque..!!?
Consumption ya mafuta same engine kwenye Boti vs Gari..!!?
Engine ya Boti kwenye gari inawezekana!!?
Specs common kwa engine ya Boti zipoje!!?
Aisee shukrani.. Umetisha sana..!ZF kwenye Marine gearbox na propulsion ni Kampuni kubwa ingawa Kuna wakina Rolls Royce. ZF is the best in all works
Kwenye Boti kikubwa ni torque ila Watu wa boat Racing HP ni muhimu.
Kwenye Boti au Meli Consumption ya Mafuta tunapima Kwa saa endapo itakuwa imepaki,full speed au normal speed.
Injini za boat zipo makundi mawili inboard engine hizi zinaingiliana na magari na outboard engine (zile za kuning'inia nje hizi huwezi kufunga kwenye gari).
Inboard engine za air cooled na water cooled (zenye kutumia rejeta zinaingiliana na magari tofauti ni gearbox). Tofauti inakuwa endapo manufacturer mmoja anatengeneza hizo injini kwenye Marine atatumia materials ambazo zipo very resistant na kutu.
Pia Kuna inboard marine engine ambazo Zina tumia open loop water cooling system. Hizi ni kama za kwenye speed boat na meli kubwa zinavuta maji ya baharini Kwa pamp Kisha hayo maji yanaenda kupooza maji yaliyo katika expansion tank na kutolewa Nje Tena baharini baada kumaliza kazi ndio Yale unaona Nje yanatolewa pembeni. Maji ya kwenye expansion tank Huwa ni fresh water(maji safi) ambayo huenda kuzunguka kwenye njia za maji katika injini na kuipoza yakipata moto yenyewe yatakuja kupozwa na maji ya baharini au maji ya Nje.
Kupata saizi ya injini tunatumia vigezo hivi,Aisee shukrani.. Umetisha sana..!
Sasa Boti mnazounda mnatumia kigezo gani kupata engine size!!?
Unajuaje Boti hii nifunge 1HZ au nifunge 1NZ..!!?