Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wadau wa Road Trip Karibuni Mkwaja karibu na gate number 1 Saadani National Park. Ndipo Shughuli zetu za kuunda Boti zinafanyika. Manaopita kutembelea Kijongo Beach,Barry Beach,Tent with View na Saadani Hotel karibuni.

Njia ya nzuri hata Kwa Watu wa gari za chini (Sedan) ni ya Mkata.View attachment 2164564
Shukrani tutafika.. Hizo Boti mnazounda zinatumia engines!!?
Kuna uwezekano wa kufunga 1hz kwenye boti..!!?
 
Kuna mzungu alitaka kufunga injini ya Discovery V8 Petrol 3.5L kwenye boti ametoka kipindi Cha COVID-19 tukashindwa kufanya nae kazi.

Kwenye injini za Land Rover gearbox ya marine ZF inafunga bila kugusa sehemu yoyote
 
ZF Bimmer wanazitumia hizo..

Kwenye Boti nini muhimu zaidi.. HP au Torque..!!?
Consumption ya mafuta same engine kwenye Boti vs Gari..!!?
Engine ya Boti kwenye gari inawezekana!!?
Specs common kwa engine ya Boti zipoje!!?
 
ZF kwenye Marine gearbox na propulsion ni Kampuni kubwa ingawa Kuna wakina Rolls Royce. ZF is the best in all works

Kwenye Boti kikubwa ni torque ila Watu wa boat Racing HP ni muhimu.

Kwenye Boti au Meli Consumption ya Mafuta tunapima Kwa saa endapo itakuwa imepaki,full speed au normal speed.

Injini za boat zipo makundi mawili inboard engine hizi zinaingiliana na magari na outboard engine (zile za kuning'inia nje hizi huwezi kufunga kwenye gari).

Inboard engine za air cooled na water cooled (zenye kutumia rejeta zinaingiliana na magari tofauti ni gearbox). Tofauti inakuwa endapo manufacturer mmoja anatengeneza hizo injini kwenye Marine atatumia materials ambazo zipo very resistant na kutu.

Pia Kuna inboard marine engine ambazo Zina tumia open loop water cooling system. Hizi ni kama za kwenye speed boat na meli kubwa zinavuta maji ya baharini Kwa pamp Kisha hayo maji yanaenda kupooza maji yaliyo katika expansion tank na kutolewa Nje Tena baharini baada kumaliza kazi ndio Yale unaona Nje yanatolewa pembeni. Maji ya kwenye expansion tank Huwa ni fresh water(maji safi) ambayo huenda kuzunguka kwenye njia za maji katika injini na kuipoza yakipata moto yenyewe yatakuja kupozwa na maji ya baharini au maji ya Nje.
 
Screenshot_20220327_000659.jpg
 
Aisee shukrani.. Umetisha sana..!
Sasa Boti mnazounda mnatumia kigezo gani kupata engine size!!?
Unajuaje Boti hii nifunge 1HZ au nifunge 1NZ..!!?
 
Kupata saizi ya injini tunatumia vigezo hivi,
1. Urefu
Kama ni boti ya matumizi ya Kawaida boti Yenye urefu usiozidi mita 4.5 Mpaka 5 injini inaweza ikatumika outboard injini ya kuanzia 9HP Mpaka 20HP

2.Uwiano wa nguvu na uzito(Power to weight ratio)
Kwenye boti ndogo uwiano wa nguvu na uzito unatakiwa uwe Kati ya 1HP Kwa uzito wa kilo 11 Mpaka 18. Hapa uwiano unaweza ukatumika kulingana na kazi itayoenda kufanya

3.Matumizi ya Chombo
Watu wa kubeba mizigo wanahitaji nguvu na luxury boat wao wanahitaji performance kubwa
Kama ni luxury boat kuipa injini Yenye HP kubwa ni Kwa ajili ya speed kwaiyo hiyo 1NZ itafaa. Ila kama ni boat ya mizigo au Jahazi itabidi 1HZ itumike Ili tupate nguvu zaidi.
 
Back
Top Bottom