Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Safari ya kukimbiza T1 kwangu huwa ninaianza saa 14:00hrs,mdogo mdogo hadi morogoro niingie saa 18:00hrs, hapo sasa ndio safari inaanza maana mabus karibu yote yamesha kuwa cleared, touch zote zipo mfukoni, barabara inakua imetulia na ligi na ITs inaanza, alfajiri ndani ya Tunduma border!!
Ahaa kumbe wewe Una mipango yako ya kufukizana na IT
 
Wakuu,mdogo mdogo wakuu, barabara zinaua zaidi ya UKIMWI.
RIP msoja,kuna picha hazifai kuwekwa hapa ni zinatisha mno.
View attachment 2241242
IMG-20220527-WA0026.jpg


Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha unaendesha gari watu wanachungulia majira ya kph[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mzigo kuwa na abiria waoga namna hio nachopinga ni overtakes za kiboya na kutanua bila taadhari tu ila kama mbele peupe hata ukigonga 180 sio swala.
Yaani ni tabu tupu; hizo overtaking za kijinga pia huwa sizipendi maana unaweza kutana na kitu kizito
 
Back
Top Bottom