y-n
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,389
- 2,510
Ni mark x,siku ya tatu leo,Igurusi paleNi crown ilitokea lini
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mark x,siku ya tatu leo,Igurusi paleNi crown ilitokea lini
Pesa tamu.Mercedes benz Maybach GLS 600 base include 4.0L v - 8 550hp twin turbo engine with a 9 speed automatic transmission + overdrive [emoji1544]View attachment 2243318
Spotted somewhere , hatari sana aisee
Pesa tamu.
.Safari ya kukimbiza T1 kwangu huwa ninaianza saa 14:00hrs,mdogo mdogo hadi morogoro niingie saa 18:00hrs, hapo sasa ndio safari inaanza maana mabus karibu yote yamesha kuwa cleared, touch zote zipo mfukoni, barabara inakua imetulia na ligi na ITs inaanza, alfajiri ndani ya Tunduma border!!
Kuna muhuni anamiliki madude hatari hizi mbil pichan kaendesha cku cku 1Pesa tamu.
Pole kwa cheti cha asubuhi asubuhi!Leo nimeanza safari kurudi DAR mdogo mdogo.
Nimepita Uyole sa 11 kasoro kama 5, nipo Iringa kupumzika napita dodoma, nitalala hapo
Leo sina msaada wameshaniotea ifunda pale kwenye 50.
Njia ya dom ndo mara ya kwanza kupita,
Am ready for the adventure.
Mwendo wa kifaza, max speed 120 no haraka.
Leo nimeanza safari kurudi DAR mdogo mdogo.
Nimepita Uyole sa 11 kasoro kama 5, nipo Iringa kupumzika napita dodoma, nitalala hapo
Leo sina msaada wameshaniotea ifunda pale kwenye 50.
Njia ya dom ndo mara ya kwanza kupita,
Am ready for the adventure.
Mwendo wa kifaza, max speed 120 no haraka.
Kutoka Ipogoro kwenda Dodoma kupitia Mtera ni almost 270km.Leo nimeanza safari kurudi DAR mdogo mdogo.
Nimepita Uyole sa 11 kasoro kama 5, nipo Iringa kupumzika napita dodoma, nitalala hapo
Leo sina msaada wameshaniotea ifunda pale kwenye 50.
Njia ya dom ndo mara ya kwanza kupita,
Am ready for the adventure.
Mwendo wa kifaza, max speed 120 no haraka.
Nilimsaidia kubrash kiatu, 30k parefu. Baada ya hapo nikashika adabu. Nimefika dodoma bila tatizo, labda kwa ukaguzi tu.Pole kwa cheti cha asubuhi asubuhi!
Barabara tulipigwa kwa kweli, ni kama cake yani.Kutoka Ipogoro kwenda Dodoma kupitia Mtera ni almost 270km.
Barabara hii kiufupi "TULIPIGWA"
Barabara ina mashimo kama mahandaki japo wamejaribu jaribu kidogo kuifukia fukia kwa michanga.
Umakini sana unahitajika hii barabara mkuu
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Yaani hiyo barabara ukitoka Iringa mjini jaza mafuta kabisa,au ukitoka Dom jaza mafuta,la sivyo utaendesha gari kwa mashaka sana.Barabara tulipigwa kwa kweli, ni kama cake yani.
Ila barabara iko empty mpaka raha.
Tatizo jingine hii njia haina petrol station, imenibidi kutia mafuta ya chupa kijiji kimoja kabla ya mpuguzi.
Nilizembea kuongeza mafuta iringa nikijua ntaweka mbele ya safari, baada ya mtera kuna petrol station moja tu nayo niliipita hoping for better one.
Nimejifunza kitu.
Hutu tutabia twa kutumiana Maramani sijui MaGiFs mwisho iwe mb3 tu.
Tumekimbia IG huko tumekuja huku unakutana na GiFs iko na 33.54MBs zingine mpaka 50Mbs alafu JF systems zinaipiga Automatic Download sijui ndiyo Automatic Preview basi kuna watu mnatusumbua.
Afadhali hata GiFs zenyewe zingekuwa na maana unakuta Gif yenyewe inakwamakwama full glitch. Prrr 4cken.
Leo nimeamua niseme tu.
Safari njema mkuuNi kweli hizi road trips zitakuwa za shida sana,wese linatisha mno,Nami in 72hrs ninaanza safari ya kutoka mother city hadi bandari salama almost 6000kms, ila Nina uzoefu nayo sana,shida zitaanzia Zambia 🇿🇲, na ninaikwepa Zimbabwe 🇿🇼, bora kupitia 🇧🇼 ingawa ni ndefu zaidi.