Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

.
 
Leo nimeanza safari kurudi DAR mdogo mdogo.

Nimepita Uyole sa 11 kasoro kama 5, nipo Iringa kupumzika napita dodoma, nitalala hapo

Leo sina msaada wameshaniotea ifunda pale kwenye 50.

Njia ya dom ndo mara ya kwanza kupita,
Am ready for the adventure.

Mwendo wa kifaza, max speed 120 no haraka.
 
Pole kwa cheti cha asubuhi asubuhi!
 

Ukifika gairo fata sheria kuna wahuni hapo wana tochi
 
Kutoka Ipogoro kwenda Dodoma kupitia Mtera ni almost 270km.
Barabara hii kiufupi "TULIPIGWA"
Barabara ina mashimo kama mahandaki japo wamejaribu jaribu kidogo kuifukia fukia kwa michanga.
Umakini sana unahitajika hii barabara mkuu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Barabara tulipigwa kwa kweli, ni kama cake yani.

Ila barabara iko empty mpaka raha.

Tatizo jingine hii njia haina petrol station, imenibidi kutia mafuta ya chupa kijiji kimoja kabla ya mpuguzi.

Nilizembea kuongeza mafuta iringa nikijua ntaweka mbele ya safari, baada ya mtera kuna petrol station moja tu nayo niliipita hoping for better one.

Nimejifunza kitu.
 
Yaani hiyo barabara ukitoka Iringa mjini jaza mafuta kabisa,au ukitoka Dom jaza mafuta,la sivyo utaendesha gari kwa mashaka sana.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 

unalalamika wewe peke yako, ndio ukome kuweka kibando cha buku moja. ila pole sana maana sina namna ya kukusaidia. dumbhead.
 
Ni kweli hizi road trips zitakuwa za shida sana,wese linatisha mno,Nami in 72hrs ninaanza safari ya kutoka mother city hadi bandari salama almost 6000kms, ila Nina uzoefu nayo sana,shida zitaanzia Zambia 🇿🇲, na ninaikwepa Zimbabwe 🇿🇼, bora kupitia 🇧🇼 ingawa ni ndefu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…