Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Zipo.. Na muda uanvyozidi kwenda zinaongezeka.. Kwahiyo ni swala la muda hiyo title atavuliwa..

Sio sawa..
Kuna Landcruiser 100 series zinatumia V8 engines pia..
Kusema LC V8 itachanganya kujua unamaanisha LC100 V8 au LC200 V8..!
 
Umerudi kule kule kwenye point yangu mkuu, sijui hata tunaposhindwa kuelewana ni wapi

Mwanzo ulisema kwa wajerumani wanaoshuka bandarini basi soon heshima ya LC 200 itashuka, ndiyo nikakuambia kama hao wajerumani wanaoshuka huko bandarini ni wale wale tuliowazoea basi heshima ya LC 200 bongo kushuka bado sana, labda wakianza kuja wajerumani wengine wenye uwezo zaidi ambao bongo wako chache

Ndiyo maana nikasema kuziita V8 hawajakosea, labda ungesema wanatakiwa waspecify zaidi ni V8 gani
 
LC200 zinachakazwa na gari nyingi sana.. nilikuwaga naziona VXR hatari ila ... kuna siku nimeichapa kama mtoto na Muingereza .. LC300 zinahitaji kifua juzi nilifatana nayo moja ya ubalozi ile gari ni matusi
 
Unaziangalia tu huchukui hatua?! Maeneo gani Dar huwa mnakula vichwa?
Kuna moja ambayo nilichukuaga ilikuwa iantoka Dom kuja dar.. sema noma ilikuwa inakunywa hela zangu, nikanyoosha mikono ...

Kwa Dar sehemu nzuri ya kula vichwa mbezi mwisho kwa Magufuli stand. Pale unaweza mpanga hata dalali kabla hujatoka aka set flesh ukifika fresh tu
 
LC200 zinachakazwa na gari nyingi sana.. nilikuwaga naziona VXR hatari ila ... kuna siku nimeichapa kama mtoto na Muingereza .. LC300 zinahitaji kifua juzi nilifatana nayo moja ya ubalozi ile gari ni matusi
Haha bila shaka ni ile jaguar

Ofcourse LC huko duniani si kitu kuna gari kibao tu zinaichakaza ila hapa bongo bado mashine inaonekana mwamba sababu ya european cars tulizo nazo huku

Hata hivyo LC kiujumla kushuka heshima kwa bongo bado sana sababu hata zikishuka hizo 200 bado mmeletewa 300 ambazo ndiyo hizo mnahangaika kupambana nazo
 
LC300 ni machine sio gari nyonge hata kidogo, inategemea LC300 unataka ipambanisha na gari gani sasa hapo..

LC200 zina heshima yake .. gari ukisha zungumzia 150 million and above ina heshima yake
 
Hivi lc300 zishazagaa mitaani na kwenye highway?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…