KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Zipo.. Na muda uanvyozidi kwenda zinaongezeka.. Kwahiyo ni swala la muda hiyo title atavuliwa..Mkuu hapa bongo ni wangapi wenye hizo bimmer ulizozitaja maana bandarini kwetu zinazoshuka ni zile zile tulizozizoea
My point was hawakosei kuiita LC V8 since inatumia V8 engine labda ungeniambia wanachokosea ni kudhani V8 ndiyo jina la gari
Engine ya V8 kutumika na gari nyingi sidhani kama ndiyo sababu ya LC kutoitwa V8 labda ungesema wawe wanaspecify ila hawakosei
Sio sawa..
Kuna Landcruiser 100 series zinatumia V8 engines pia..
Kusema LC V8 itachanganya kujua unamaanisha LC100 V8 au LC200 V8..!