Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tayari ila sio nyingi sana, binafsi nimebahatika kama nne tofauti tofauti kuzikuta ila Range Rover ya 2021 wala SVR ya 2021 mbadooo [emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu unaongelea ya 2021 Leo nimepishana na autobiography suv 2022 hapa gold star nimeshindwa hata kuichukua picha ssbabu ilikuwa fasta ikiwa na escort inaingia jnia
 
Raha ni kuwa unaweza futa 26O kph
 
Hahaha labda niende German kwenye Autobahn na Porsche
Back then M4 between junction 3-7 kulikuwa hakuna camera sijui sasa hivi, tulikuwa tunapiga sana 120-130mph. M23 kuelekea Brighton, M3 kuelekea Southampton kuna vipande havina camera usiku unajiachia tu, shida M40 na nyinginezo kuelekea North
 
Siku hizi kila mahali wameweka camera sio kwa sababu ya ajali Hapana bali kutukamua tu na faini ziada usipolipa kwa wakati

Kila kitu kimebadilika na speed 20mph mijini jambo la kawaida na faini juu ukipita hata 25

Motorways zimekuwa smart motorways speed zinabadilika kwa flow ya magari kama ni traffic sana unaona speed zimebadilika kutoka 70 mpaka 50 au 40 sasa jichanganye hapo

M40 ndio bado kuwa smart na camera Hakuna ila kuna cop wanazunguka na magari ya kawaida
Licence kwangu ni muhimu sana Mkuu I don’t mess with the law
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…