Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

🙂 🙂 acha nimcheki Hadde na mwanzilishi RRONDO tuone tuna ku welcome vipi chamani.. ile kitu yako kwanza naona tukujazie full tank na kingine cha ziada tukuchukulie set nzima ya Pireli P zero
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na seat Cover unibadilishie...Nimechoka aibu[emoji1].
Check na Maboss hao...Ijumaa/Jumamosi jioni mnipeleke 25...
 
Leo ni Mbeya to mbinga
20220711_161350.jpg
 
Kwa niaba ya wanachama wote wa JF Road trip group naomba nichukue nafasi hii kukukaribisha rasmi chamani, humu ni road trips tu haijalishi umetumia Vits au VX-R kama Hadde muhimu ni updates zako za road trip tu. Karibu sana.
Mimi na VX-R wapi na wapi [emoji1][emoji1]

Zile huwa ni za maboss

Makiwendo karibu kwenye chama letu la mamwendo
 
Back
Top Bottom