Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Mh hii misumari[emoji114][emoji114]Zipo models tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh hii misumari[emoji114][emoji114]Zipo models tatu
🤦🤦🤦TutazoeaKwa hii bei ya mafuta nahitaji zaidi ya 500k kwenda na kurudi Arusha mnamo Jumatatu.
Ingezoeleka kama na mirija ya pesa ingefunguka pia[emoji1751][emoji1751][emoji1751]Tutazoea
Daah! 🤦🤦🤦 Hadi vichwa vinaumaIngezoeleka kama na mirija ya pesa ingefunguka pia
Na iwe constant. No rapid acceleration. Kwahiyo mchana is a no noEndesha mdogo mdogo 130kph max speed.
Malori huwa yananikera nayapita kwa nguvu so inacancel outMchana ndio poa sasa. Ubize wa barabara unakulimit
Hizo ego games haziendani na hali ya uchumi wa dunia kwa sasa... Maana maumivu sheli ni makubwa mnoAu mpaka itokee IST ikupite Kwa mbwembwe!
Ni mimi huyo, nilikuwa nachomokaaaaa nawakata nawasubiria mbele nawakata tena nilitokea TangaJana kuna mdau alikuwa anatumia Crown Majesta!
Alinifurahisha sana.
Hahahah wameshika adabu, wamestic kwa <2K RPM RULESuddenly Crown and Subaru drivers are so disciplined.
Litre 1 sawa na 1£ lazma adabu iwepo 😂😂😂Hizo ego games haziendani na hali ya uchumi wa dunia kwa sasa... Maana maumivu sheli ni makubwa mno
Duuuh! Huu ni uharibifuLC-300 dual cab jamaa wameikata.View attachment 2297062View attachment 2297063View attachment 2297065View attachment 2297066