Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Kwa hizi spec ipate taabu gani.. LC300 inachakazwa ndani second 4.9 za kwanza tu.. kama kumla mkeo usivyopata tabu ndivyo GLS600 isivyopata tabu kumuachia vumbi LC300.. [emoji16][emoji16]View attachment 2300645
Duu kweli hanusi hata kunusa nimeamini gari ina umbo dogodogo ila ndani ni balaa hapo kwenye fuel sasa[emoji1019][emoji1019][emoji1019]
 
Kwa hizi spec ipate taabu gani.. LC300 inachakazwa ndani second 4.9 za kwanza tu.. kama kumla mkeo usivyopata tabu ndivyo GLS600 isivyopata tabu kumuachia vumbi LC300.. [emoji16][emoji16]View attachment 2300645
Kwaiyo mkuu tuweke msumari upi wa kijapani utaweza kufiti kwa specs za ndani sisemei price najua price kwa msumari wowote wa kijapani haufikii nasemea mbio tuweke na ipi?
 
Acha niite wajapan kutoka Tanzania Extrovert na dugu yake wa kupuliza .. watakuambia SUV gani kutoka kwao ambayo ni powerful na inaweza mchakaza GLS600 ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ