Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huyo anaveshwa Lexus LX6OO inamtosha kabisa na akileta kiburi basi atatiwa LC5OO ili iweze kumtia adabu vizuri zaidi.
LX atanyanyua kichwa .. ila hana ubavu wa kutumisha misuli hapo 😀😀😀😀.. atalamba mchanga vizuri hasa akutane na dereva roho mbaya... kama tukiwapa gls 63 Amg mtalia sana kwamba sio fair
 
LX atanyanyua kichwa .. ila hana ubavu wa kutumisha misuli hapo 😀😀😀😀.. atalamba mchanga vizuri hasa akutane na dereva roho mbaya... kama tukiwapa gls 63 Amg mtalia sana kwamba sio fair
Hizo performance cars sio za kupambanisha na Toyota ziko way beyond bars. Ila ukiweka parling kwa LX6OO na GLS6OO inakalishwa on fair grounds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…