[emoji81][emoji81]Hao ni exceptional kwenye huu mjadala[emoji23]
RR habari ingine ile, hiyo LC300 inatia adabu pale 😀😀😀Hivi hizi range rover mfano ile ya MO DEWJI vipi LC 300 inaweza fuata maana ni 500hp.
Hii ni hatari sana bro.
Yani unafuata maamuzi ya wengine?
Diesel chafu Bongo itakupasua kichwa. Miezi sita utashtuka DPF imeziba/imekufa gari inaingia kwenye limp mode. DPF ingine utaambiwa $1500 halafu ije tena kufa na diesel chafu. Though kuna uwezekano wa ku-bypass hio kitu na ukawa salama.Raha ya petrol uwe na stretch kubwa na sehemu tambarare.
Ila diesel unapandisha mlima una 350hp kifuani, kama unashuka vile. Wakati petrol ni kama inaanza kuchoka.
I think my next car itakuwa BMW X5 50d yenye 380hp.
Diesel power!Kwa barabara za Tz, ukiwa na almost the same horses, gari ya diesel inakuacha mbali sana.
Ile torque ndo silaha kubwa mno.
Kuna wakati nilikuwa na petrol na jamaa ana diesel, alinipa challenge kubwa sana.
Hii elimu ya kufanya DPF delete ni muhimu sana kwa anayetaka kumiliki European diesel vehicle! Speaking from own experience.Diesel chafu Bongo itakupasua kichwa. Miezi sita utashtuka DPF imeziba/imekufa gari inaingia kwenye limp mode. DPF ingine utaambiwa $1500 halafu ije tena kufa na diesel chafu. Though kuna uwezekano wa ku-bypass hio kitu na ukawa salama.
Zipo pia aina fulani za VW zinakufa sana engine kwasababu ya mafuta hayajafikia viwango ambavyo gari inataka, hasa VW zenye turbo na supercharger on the same engine(TSi). Mafuta ni changamoto kwa gari za kisasa.
Mkuu ni Alphard ya six cylinders au hii yenye four cylinders?kama yenye four Mimi naionaga nzito sijui labda mazoea yangu.Mie naiaminia sana Alphard nikiwa safari huwa hainiangushi pia napenda overtaking zake za chap kwa haraka kwenye kuchanganya.
Ila mkeka huu ulisukwa aisee [emoji91][emoji91]Ni kweli ila za kwenda nyasa/mbambabay ni zaidi ya hizi...
Sio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.mHivi Alphard inaweza pelekana na prado 150?
Inategemea na ujasiri wa dereva, mfano mi nikiwa na vxr range rover lazima ataisoma nambaHivi hizi range rover mfano ile ya MO DEWJI vipi LC 300 inaweza fuata maana ni 500hp.
Ni kweli kabisa.Diesel chafu Bongo itakupasua kichwa. Miezi sita utashtuka DPF imeziba/imekufa gari inaingia kwenye limp mode. DPF ingine utaambiwa $1500 halafu ije tena kufa na diesel chafu. Though kuna uwezekano wa ku-bypass hio kitu na ukawa salama.
Zipo pia aina fulani za VW zinakufa sana engine kwasababu ya mafuta hayajafikia viwango ambavyo gari inataka, hasa VW zenye turbo na supercharger on the same engine(TSi). Mafuta ni changamoto kwa gari za kisasa.
Hizo gari za ulaya za diesel huwa zinanichekeshaga mno. Yani BMW kali ila inakunya moshi kama lorry ya fuso na kelele ya ngara..ngara...ngara 😂😂😂!Hii elimu ya kufanya DPF delete ni muhimu sana kwa anayetaka kumiliki European diesel vehicle! Speaking from own experience.
Prado huwa ni RAV4 zilizochangamkaSio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.m
Hahahahah 😂😂😂Prado huwa ni RAV4 zilizochangamka
Zipo kadhaa za SA nilikutana nazo zilikumbwa na hili tatizo.Ni kweli kabisa.
Hiyo changamoto inaniwazisha sana.
Nilishauriwa nikichukua gari ya Diesel, nisichukue za Europe, nichukue za South Africa, Japan au USA.
Hazina complication sana kama za EU.
Wewe una shida sio bure. Ulaya ndio wazee wa Diesel acha kuongea kwa hisia. Ukikutana na gari mbovu za wenzio huko mtaani kwenu ndio unajaji gari zote za Ulaya. Hizi Disco 3/4 zilizozagaa mitaani asilimia ngapi ni petrol? Kwa taarifa yako hizi Vogue unazoziona mjini kuanzia 2014 na kuendela 95% diesel 3.0 au 4.4sdv8. Ford rangers ambazo zinauzwa sana hapa Tz, VW Amarok zote diesel ushawahi kuona zinachafua mazingira barabarani kama matoyota ya diesel hapa mjini?Hizo gari za ulaya za diesel huwa zinanichekeshaga mno. Yani BMW kali ila inakunya moshi kama lorry ya fuso na kelele ya ngara..ngara...ngara 😂😂😂!
Diesel utawala ni Toyota tu na Mitsubishi tu.
Duh kumbe Prado na cc2700 inatoa 163hp tu? DuhSio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.m
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Volkswagen up na anatuna kabisaUtaskia, "Toyota hana gari kama mjerumani" aliskika muendesha 3 series na VW golf mmoja.[emoji23][emoji23][emoji23]