Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yes mkuu ila hili ndio hali halisi, kwenye barabara, madereva wengi wanaona na kuendesha kwenye hii barabara, BUT professional drivers wanaendesha kwa kufuata driving line,Sawa na F1 utaona wote wanakwenda kwa kufuata racing line, na convoy hizi tunaendesha kwa kuifuata Ile special line within barabara!
Hii ni hatari sana bro.

Yani unafuata maamuzi ya wengine?
 
Raha ya petrol uwe na stretch kubwa na sehemu tambarare.

Ila diesel unapandisha mlima una 350hp kifuani, kama unashuka vile. Wakati petrol ni kama inaanza kuchoka.

I think my next car itakuwa BMW X5 50d yenye 380hp.
Diesel chafu Bongo itakupasua kichwa. Miezi sita utashtuka DPF imeziba/imekufa gari inaingia kwenye limp mode. DPF ingine utaambiwa $1500 halafu ije tena kufa na diesel chafu. Though kuna uwezekano wa ku-bypass hio kitu na ukawa salama.
Zipo pia aina fulani za VW zinakufa sana engine kwasababu ya mafuta hayajafikia viwango ambavyo gari inataka, hasa VW zenye turbo na supercharger on the same engine(TSi). Mafuta ni changamoto kwa gari za kisasa.
 
Toyota Land Cruiser evolution, wadau wa Heavy Duty tujuane aisee
FB_IMG_1660200282724.jpg
 
Diesel chafu Bongo itakupasua kichwa. Miezi sita utashtuka DPF imeziba/imekufa gari inaingia kwenye limp mode. DPF ingine utaambiwa $1500 halafu ije tena kufa na diesel chafu. Though kuna uwezekano wa ku-bypass hio kitu na ukawa salama.
Zipo pia aina fulani za VW zinakufa sana engine kwasababu ya mafuta hayajafikia viwango ambavyo gari inataka, hasa VW zenye turbo na supercharger on the same engine(TSi). Mafuta ni changamoto kwa gari za kisasa.
Hii elimu ya kufanya DPF delete ni muhimu sana kwa anayetaka kumiliki European diesel vehicle! Speaking from own experience.
 
Hivi Alphard inaweza pelekana na prado 150?
Sio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.m
 
Ni kweli kabisa.

Hiyo changamoto inaniwazisha sana.

Nilishauriwa nikichukua gari ya Diesel, nisichukue za Europe, nichukue za South Africa, Japan au USA.

Hazina complication sana kama za EU.
 
Hii elimu ya kufanya DPF delete ni muhimu sana kwa anayetaka kumiliki European diesel vehicle! Speaking from own experience.
Hizo gari za ulaya za diesel huwa zinanichekeshaga mno. Yani BMW kali ila inakunya moshi kama lorry ya fuso na kelele ya ngara..ngara...ngara 😂😂😂!

Diesel utawala ni Toyota tu na Mitsubishi tu.
 
Sio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.m
Prado huwa ni RAV4 zilizochangamka
 
Hizo gari za ulaya za diesel huwa zinanichekeshaga mno. Yani BMW kali ila inakunya moshi kama lorry ya fuso na kelele ya ngara..ngara...ngara 😂😂😂!

Diesel utawala ni Toyota tu na Mitsubishi tu.
Wewe una shida sio bure. Ulaya ndio wazee wa Diesel acha kuongea kwa hisia. Ukikutana na gari mbovu za wenzio huko mtaani kwenu ndio unajaji gari zote za Ulaya. Hizi Disco 3/4 zilizozagaa mitaani asilimia ngapi ni petrol? Kwa taarifa yako hizi Vogue unazoziona mjini kuanzia 2014 na kuendela 95% diesel 3.0 au 4.4sdv8. Ford rangers ambazo zinauzwa sana hapa Tz, VW Amarok zote diesel ushawahi kuona zinachafua mazingira barabarani kama matoyota ya diesel hapa mjini?
Kuna kampuni car rental inaitwa Volo sidhani kama unaijua wana fleet za diesel tu kuanzia sedan hadi suv VW zina miaka zaidi ya mitano sasa na hazitoi moshi kama unavyosema hapa.
 
Sio tu kupelekana inaweza ikakalisha kabisa Prado za petrol sababu ALPHARD horsepower zake ni kati ya 168-177HP ikisaidiwa na uzito mdogo huku Prado 3RZ ni 150HP, 2TR ni 163HP, Diesel turbo 1KD-FTV ni 173HP. Inaweza ikaletewa shida na hii Prado ya diesel yenye turbo na torque ya +300N.m
Duh kumbe Prado na cc2700 inatoa 163hp tu? Duh
 
Back
Top Bottom