Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well elaborated mkuu!Ngoja nikupe mfano kutegemea na hali halisi, Toyota hilux sc 2.4L:Fuel (Diesel)tank yake 80L, ukiendesha vema unaweza Pata 800kms yaani full tank inaweza kukutoa Dar hadi Mbeya, na kati ya jhb na Dar ni kama 3400km,means unahitaji 4full tanks, nitakupa makisio in zar, unahitaji 8000zar za Diesel, TIP thr Botswana single trip 500zar,kazungula bridge toll 500,agent pale na road toll,carbon tax estimate 1300,kwa hiyo ukiwa na 10,500zar zinatosha, nimeacha paper work na duty pale tunduma osbp
My pleasure 🙏 mkuu,binafsi ninapokua ndani ya JF,ninatumia muda mwingi kwenye mada hii, maana ninajifunza mengi mno, kudos kwa mtoa uzi huu PRONDOWell elaborated mkuu!
Mkuu reality vitu vizuri vinakuja na costs zake, itapendeza mno in the next 15yrs hii barabara iwe kama ilivyo sasa au iboreshwe zaidi, angalia Ile ya Makambako to Songea ni changamoto maana hatukuihudumia vemaMkuu unataka tuongezewe tozo nyingine?
Amecheza Sana Kaka mkubwa,vipi safari yako ya kupitia mtera ulishanyanyua?My pleasure [emoji120] mkuu,binafsi ninapokua ndani ya JF,ninatumia muda mwingi kwenye mada hii, maana ninajifunza mengi mno, kudos kwa mtoa uzi huu PRONDO
Bado mkuu siku ya kupita njia hii nitaleta mrejesho humuAmecheza Sana Kaka mkubwa,vipi safari yako ya kupitia mtera ulishanyanyua?
Tuta za iringa hazina migongo mikali!!Kwa coaster ina utata...sijui huyo jamaa alikuwa anaendeshaje especially vile vipande vyenye matuta, maana mitaa ya Iringa barabara imewekwa tutaz za kutosha
Hizi na gari za jeshi ni safi sana kwa kuchangamsha safari.Huenda ni escort hao wale wa E 1 😀😀😀
Ilikuwa ni 2006 kama sikosei matuta hayakuwa mengi kama sasa hivi,uyole tulitoka sita kamili mchana ubungo saa tatu dk20,tulipokaribia kufika karibu na comfort hotel,kuna hardtop cruiser ikatuchomekea akijua tuko slow,baadae alipoona kila akikimbia tupo nyuma yake akatupisha.Tuta za iringa hazina migongo mikali!!
Huyo dereva Dullah nadhani bado yupo pale biafra ulizia mkuu,wengi wamebisha ila ukweli utabaki pale pale,tuliondoka kyela saa 3 badala ya saa 12 tuliyopanga,kusimama kulikuwa kwingi tukafika uyole saa 5:30,saa 6 tukaondoka ambulance iliyoondoka alfajiri tuliikuta vigwaza jamaa amepaki akidai kachoka,konda ikabidi amsaidie tukaongozana hadi ubungo p-station saa3+.Anaebisha abishe ila ndo ukweli.Kwa coaster ina utata...sijui huyo jamaa alikuwa anaendeshaje especially vile vipande vyenye matuta, maana mitaa ya Iringa barabara imewekwa tutaz za kutosha
Okay mkuu.Bado mkuu siku ya kupita njia hii nitaleta mrejesho humu
Hujaziosha Vizuri Kamanda.1.5hrs Msata to Mwenge! Au hujaelewa? In total Dar-Moshi nimetumia 6hrs. Nimeosha 50kph zote. Anaesema anatumia 5hrs siamini kabisa hasa hizo Toyota za kawaida.
Ni Ndani ya 5hours. Discovery 5.Gari gani hio Dar-Moshi unatumia chini ya 5hrs?
😀😀😀 Gari za jeshi huwa ni bati bati, kuna siku tulikuwa tunaenda mahala na gari yao, tulikuwa nje ya mda, fujo yake ni noma na mwendo mkali kishenzi, kupita upande usio wetu ilikuwa kawaida tu 😀😀😀😀 na hatimae tukawaiHizi na gari za jeshi ni safi sana kwa kuchangamsha safari.
Tuta za iringa hazina migongo mikali!!
Njia ya Dar mpk Arusha nimepita mara 3 tu, na kiukwel nilikuwa natembea mwendo wa kitalii maana nilikuwa na wageni nimetoka kuwapokea.Kwani wewe Dar-Moshi unatumia masaa mangapi?
😀😀😀 kuna siku nilikuwa natoka Dom naenda Singida, nimetoka zangu babalanga pale saa moja nampigi boss simu asubuhi natoka hapa dodoma nakuja hapo kumalizi kazi, hakuamini saa mbili na nusu nipo Singida nilitumia saa moja na nusu 😀😀😀😀 hakuna mahala nilisimama hadi natia nangaNjia ya Dar mpk Arusha nimepita mara 3 tu, na kiukwel nilikuwa natembea mwendo wa kitalii maana nilikuwa na wageni nimetoka kuwapokea.
Ila njia ya kuanzia Shelui(Singida) mpaka Dodoma almost (338 KM) huwa natumia masaa 3 tu wakat wa usiku.