RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #17,281
Ndio maana nilitaka nijue unatumia gari gani 540km Dar-Moshi utumie masaa matano. Maanake kuna Dar-Msata hapa pana usumbufu, utoke Msata hadi uimalize Wami hapajatulia. Wami hadi Segera kuna vimiji kibao. Sehemu ambayo utatembea kwa raha ni Mombo-Same na mbele kidogo. Kwa gari za kawaida hizi sijui Wish,Kluger siamini kama kuna mtu anaweza kutumia masaa 5 tu.Njia ya Dar mpk Arusha nimepita mara 3 tu, na kiukwel nilikuwa natembea mwendo wa kitalii maana nilikuwa na wageni nimetoka kuwapokea.
Ila njia ya kuanzia Shelui(Singida) mpaka Dodoma almost (338 KM) huwa natumia masaa 3 tu wakat wa usiku.