MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Zile ngoma zinatembea mkuu... kuna jamaa namjua alitoka Mwanza saa 6 mchana, akafika Dodoma saa 12 jioni, walikuwa wanawahi site kabla ya jua kuzama! Zile mashine ni noma sana.... ingawa hazifiki kwa Amarok 🤣 🤣 🤣 🤣Hilux watu wanaichukulia poa, ikiwa na 1KD inatembea tena ikiwa turbo charged huwa haisinzii milimani inapanda na kushuka kama tambarare.
Gari ya 17OHP sio ya kinyonge highway hasa mtu akiikalia vizuri. Kuipata 18Okph ni muda mchache tu.