Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Bwana mdogo nimeendesha gari zina mwendo kuliko hizo unazofikiria wewe. Acheni uongo. Kuna gari za kwenda Dar-Moshi 5hrs sio hivyo vigari vyenu. Kuna mtu kasema alikuwa na lc200 na mwingine disco 5 hao wala siwashangai sio nyinyi mniletee fix za wish sijui Ops uende Moshi 5hrs.
Sasa mkuu kama basi kabla ya tochi ziliweza kufika Mbeya kwa masaa tisa,OPA yenye 1.8L/2.0L inashindwaje ku-cover interval ya km 500 kwa huo muda?Ugumu wa sasa ni kwenye ubize wa barabara lakini gari za sasa nyingi ziko vizuri kuliko za zamani.
 
Sawa mkuu.
 
Zile ngoma zinatembea mkuu... kuna jamaa namjua alitoka Mwanza saa 6 mchana, akafika Dodoma saa 12 jioni, walikuwa wanawahi site kabla ya jua kuzama! Zile mashine ni noma sana.... ingawa hazifiki kwa Amarok [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nashangaa wanavyozidharau,hizo pick up za generation ya sasa bila kujali brand(TATA excluded) si za kuchukulia poa ni hatari!hata mitsubishi L200 zitakustaajabisha.
 
Sasa mkuu kama basi kabla ya tochi ziliweza kufika Mbeya kwa masaa tisa,OPA yenye 1.8L/2.0L inashindwaje ku-cover interval ya km 500 kwa huo muda?Ugumu wa sasa ni kwenye ubize wa barabara lakini gari za sasa nyingi ziko vizuri kuliko za zamani.
Hebu nisaidie hilo mkuu, iko siku ntaweka record 😆 maana gari iwe stable tu speed yeyote unatembea.
 
Nashangaa wanavyozidharau,hizo pick up za generation ya sasa bila kujali brand(TATA excluded) si za kuchukulia poa ni hatari!hata mitsubishi L200 zitakustaajabisha.
Kaka acha kabisa.... nimewahi kuongozana na L200 za Total, zile DLV series; ni moto balaa, nilikuwa natembea na mwendo huu, lakini jamaa bado namuona nyuma yangu 😂 😂 😂 😂

1660837255423.png
 
Mzee nilitaka nikutetee ila kwa swala la kuniambia Msata hadi segera unatembea kwa 1 Hour hio naona ni Africafe coffee kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kuwa huwa hatupo wote, sina haja ya kukaza misuli ya kichwa kibishana na wewe. Ukitaka kujua kama inawezekana au laa.. Na wewe jaribu.
 
Back
Top Bottom