Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Dar es Salaam to Mwanza .. naanzia safari hapa mlimani city mda huu kukunja goti hadi mwanzaa... nahisi saa sita usiku nitakuwa pale the Cask napiga vyombo [emoji477]️[emoji477]️ Dua zenu tuu
Na hata hiyo saa sita usiku unaweza ukawa bado hujatoboa Mwanza mkuu.
Tupe mrejesho ukifika,time gani uliingia!!?
 
Back
Top Bottom