Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hilux watu wanaichukulia poa, ikiwa na 1KD inatembea tena ikiwa turbo charged huwa haisinzii milimani inapanda na kushuka kama tambarare.

Gari ya 17OHP sio ya kinyonge highway hasa mtu akiikalia vizuri. Kuipata 18Okph ni muda mchache tu.
Zile ngoma zinatembea mkuu... kuna jamaa namjua alitoka Mwanza saa 6 mchana, akafika Dodoma saa 12 jioni, walikuwa wanawahi site kabla ya jua kuzama! Zile mashine ni noma sana.... ingawa hazifiki kwa Amarok 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sawa ilinganisheni na hao wenzie.
 
Hivi XT si ndio yenye turbo? Sasa 150hp inakuwaje?
 
Zile ngoma zinatembea mkuu... kuna jamaa namjua alitoka Mwanza saa 6 mchana, akafika Dodoma saa 12 jioni, walikuwa wanawahi site kabla ya jua kuzama! Zile mashine ni noma sana.... ingawa hazifiki kwa Amarok 🤣 🤣 🤣 🤣
Amarok inategemea sababu za 2.0L diesel ni 179HP ila ile 3.0L V6 ya petrol ndio inafika 250HP. It means Diesel ikiwekwa na Hilux 1GD-FTV inakula moto vizuri tu. Petrol ndio atamnyanyasa Hilux.
 
Sasa mituta ya nini highway yani bongo wakandarasi wana ukichaa mno. Njia inajazwa matuta na zebra crossing badala ya kuweka vivuko na madaraja ya kuvushia raia side A to B
Hata hivi vibao vya 50 inabidi watafute namna kwenye hizi highway, ni mambo ya kizamani sana. Sahivi mikoa mingi inaungana, unakuta makazi ya watu kutokana mkoa mmoja hadi mwingine.. Sasa sijui tutakua tunatembea 50 mkoa kwa mkoa.
 
Amarok inategemea sababu za 2.0L diesel ni 179HP ila ile 3.0L V6 ya petrol ndio inafika 250HP. It means Diesel ikiwekwa na Hilux 1GD-FTV inakula moto vizuri tu. Petrol ndio atamnyanyasa Hilux.
Amarok top speed yake iko juu sana.... Amarok inaweza kunyanyasa gari nyingi za Japan. Tena kama ni V6, wacha kabisa
 
Point of correction kidogo...

Subaru XT ya SG5 version ni 220hp
Subaru XT ya SH5 version ni 230hp
 
Hata hivi vibao vya 50 inabidi watafute namna kwenye hizi highway, ni mambo ya kizamani sana. Sahivi mikoa mingi inaungana, unakuta makazi ya watu kutokana mkoa mmoja hadi mwingine.. Sasa sijui tutakua tunatembea 50 mkoa kwa mkoa.
Inabidi kuwe na by-pass na wahakikishe wanakijiji hawafuati barabara na kujenga pembezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…