Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Naona baada ya Short break ya December mmetuletea breaking news "Alisema awali kodi ya IST ilikuwa ni Sh4.3 milioni sasa imeongezeka hadi Sh6.4 milioni."Source Gazeti la Mwananchi
"Kwa watu waliopanga kununua gari kipindi hiki watapaswa kujikung’uta zaidi mfukoni kutokana na kuongezeka kwa bei hadi Sh3 milioni kwa baadhi ya magari ikilinganishwa na wiki iliyopita"
Kiufupu ni kwamba CIF za baadhi ya magari kwenye calculator ya TRA zimepanda....
 
Kabla hujaagiza gari,stay informed CIF zimepanda
Reference Number:20213098418
Make:TOYOTA
Model:IST - NCP 60/61/65
Body Type:HATCHBACK
Year of Manufacture:2003
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1001 - 1500 CC
Customs Value CIF (USD):2,360.33
Import Duty (USD):590.08
Excise Duty (USD):147.52
Excise Duty due to Age (USD):885.13
VAT (USD):760.95
Custom Processing Fee (USD):14.16
Railway Dev Levy (USD):35.41
Total Import Taxes (USD):2,433.25
Total Import Taxes (TSHS):5,618,685.08
Vehicle Registration Fee (TSHS):450,000.00
TOTAL TAXES (TSHS):6,068,685.08
 
Hatimae na madalali watazipandisha hizi IST za mikononi kwa watu.
 
Hakuna kipindi kibaya kuagiza gari kama December. Ukiagiza December utapata makadirio fulani ila ikiingia tu January jamaa wanabadilisha calculator yao gari yako ikifika cha moto utakiona!
 
Angalia Dualis uone balaa1
 
Sasa hii gari yetu wanyoge itakuaje?!!
 
Hakuna kipindi kibaya kuagiza gari kama December. Ukiagiza December utapata makadirio fulani ila ikiingia tu January jamaa wanabadilisha calculator yao gari yako ikifika cha moto utakiona!
Upo sahihi sana kaka,yani hii tofauti ya gharama ya hadi 3M inaweza kuwapelekea watu magari yao yakauzwa kwa mnada kwa kushtukizwa na mamlaka.
 
Upo sahihi sana kaka,yani hii tofauti ya gharama ya hadi 3M inaweza kuwapelekea watu magari yao yakauzwa kwa mnada kwa kushtukizwa na mamlaka.
3m nyingi sana, watafanya gari za mkononi zipande bei. Ila nawahurumia walioagiza magari kwa kutegemea hesabu za December
 
Mnyama kama mnyama! Hii na Y62 V8 nikizikuta barabarani hata kupita napita kwa adabu sitaki ligi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…