mparanative
New Member
- Aug 19, 2022
- 4
- 6
Wapi wanadelete hii kitu kwa Dar es salam,maana nina cx5 ya diesel na taa ya dpf imewaka.Hii elimu ya kufanya DPF delete ni muhimu sana kwa anayetaka kumiliki European diesel vehicle! Speaking from own experience.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sawa mjerumani sirudii tena.
All the best mkuuDar es Salaam to Mwanza .. naanzia safari hapa mlimani city mda huu kukunja goti hadi mwanzaa... nahisi saa sita usiku nitakuwa pale the Cask napiga vyombo [emoji477]️[emoji477]️ Dua zenu tuu
Mzee usisahau kufunga mkanda 😂😂😂Dar es Salaam to Mwanza .. naanzia safari hapa mlimani city mda huu kukunja goti hadi mwanzaa... nahisi saa sita usiku nitakuwa pale the Cask napiga vyombo ☕️☕️ Dua zenu tuu
Hahahahah mtani wa jadi huyo 😂😂😂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hii ligi yenu huwa naipenda sana!!!
Tuoneshe na tupicha kidogo twa ODO kunogesha safariDar es Salaam to Mwanza .. naanzia safari hapa mlimani city mda huu kukunja goti hadi mwanzaa... nahisi saa sita usiku nitakuwa pale the Cask napiga vyombo ☕️☕️ Dua zenu tuu
Labda kama barabara ni straight ila ktk hali halisi ni ngumu haswa kwa gari hizi za japanThere is no way utatembea 136KMs kwa saa 1.
Hio Dar-Chalinze tu ni 102kms ila estimates ni 2hrs straight.
Niko misigiri hapa najua utapita night sana tungepiga moja mbili.[emoji16]All the best mkuu
😀😀😀😀😀 Kuona kama 180 au 260Tuoneshe na tupicha kidogo twa ODO kunogesha safari
Bon voyage mkuu!Dar es Salaam to Mwanza .. naanzia safari hapa mlimani city mda huu kukunja goti hadi mwanzaa... nahisi saa sita usiku nitakuwa pale the Cask napiga vyombo [emoji477]️[emoji477]️ Dua zenu tuu
Na hata hiyo saa sita usiku unaweza ukawa bado hujatoboa Mwanza mkuu.Dar es Salaam to Mwanza .. naanzia safari hapa mlimani city mda huu kukunja goti hadi mwanzaa... nahisi saa sita usiku nitakuwa pale the Cask napiga vyombo [emoji477]️[emoji477]️ Dua zenu tuu
Hiyo saa 6 night itakukuta Shinyanga au kama umesogea sana basi maeneo ya Mwigumbi,ukivuta sana labda mpakani pale,(SHY-MZA)Na hata hiyo saa sita usiku unaweza ukawa bado hujatoboa Mwanza mkuu.
Tupe mrejesho ukifika,time gani uliingia!!?
Mwishoni kabisa tusubilie wakati wenye shangingi wamechokaaSisi tusio hata na baisekeli tukomenti wapi?
Eeh trip bila kapicha ni sawa na usemi wa mama, hili nalo nendeni mkalitizame😀😀😀😀😀 Kuona kama 180 au 260
Miaka mitano ijayo kutakuwa congested kama ile nyingine ya kawaida.Duh! Hatua mbili mbele tatu nyuma.