Unafanya nini njiani mkuu au kuna sehemu unapitia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka Tabora kuitafuta Chaya,chuma iikamate Tura-Mabeshi,ije ikate pale mpakani uanze kuitafuta Gang 48 (KAZI KAZI) hadi Itigi ni 240 Km tu mkuu halafu mkeka upo skwea kinoma,masaa mawili na nusu tu hapo unapafyatua mkuu kama unawamudu wazee wa sare nyeupe,ukifika Itigi kula kuku kidogo pale kwa Sambiga,opposite na St.Gasper Refferal Hospital,saa moja net nyoosha mguu mwamba futa izo km 36 chuma itokee Manyoni town then kula izo 127 ibuka dom,hizo 440+km za kuichapa Dsm mbona saa 9 nightmare uko jiji mzee???