Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unafanya nini njiani mkuu au kuna sehemu unapitia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kutoka Tabora kuitafuta Chaya,chuma iikamate Tura-Mabeshi,ije ikate pale mpakani uanze kuitafuta Gang 48 (KAZI KAZI) hadi Itigi ni 240 Km tu mkuu halafu mkeka upo skwea kinoma,masaa mawili na nusu tu hapo unapafyatua mkuu kama unawamudu wazee wa sare nyeupe,ukifika Itigi kula kuku kidogo pale kwa Sambiga,opposite na St.Gasper Refferal Hospital,saa moja net nyoosha mguu mwamba futa izo km 36 chuma itokee Manyoni town then kula izo 127 ibuka dom,hizo 440+km za kuichapa Dsm mbona saa 9 nightmare uko jiji mzee???
Kutoka dodoma magari alikuwa mengi nimeingia saa 12,nilikuwa na chuma hiyo
20220822_071802.jpg
 
Yes ndio maana kwa sisi wapenzi wa road convoy za usiku una make sure taa zako zipo byee, wiper n wind screen ziwe in good shape, na ikibidi vaa night driving goggles...always KEEP A GOOD FOLLOWING DISTANCE, pointer aki brake ghafula kusimama LAZIMA nawe uwe in a position to stop sio kumgonga au kuingia porini
Ni kweli mkuu ukiwa full yani gari haina maseke ni raha kutembea.
 
Mfatiliaji sana wa huu uzi. Naona kuna ma exparts wengi wa kulenga madaraja. Natamani siku lipigwe battle la kimyakimya yaani kama marathon zao zile mnapoint mkoa na start line na siku kimya kimya afu tunakiwasha just for fun.
Itakua poa sana.
 
Tukamwage moto Mbeya,lets prepare a tour to MATEMA BEACH wazee mpo tayariiiiiiiiiiiiii?

Matema Beach ni sehemu nzuri sana ,ufukwe wa ziwa Nyasa,ipo Kyela,nje kidogo ya mji wa Kyela kama unaelekea Ipinda,unavuka Fubu Talatala,Mto Mbaka pia.

Waliotayari tunyooshe mikono juu tupeane utaratibu.
 
Kuna watu mtawaonea mkuu [emoji16] maana najua hakutakua na mwendo mdogo ni kupimiana tu Road.
 
Pa kiboya sana njia ina mashimo sana hio ishanikatiaga uzi wa tyre nikafika tairi ina vinundu kama imeng'atwa na nyuki [emoji23][emoji23][emoji23] af kuna zile bus za Hino madereva wake wanaendesha kama wamekula ndumu!
Hino zile ziko vizuri natamani nione mpepetano na 1hd-fte,sijabahatika ile ligi hasa.
 
Yes ndio maana kwa sisi wapenzi wa road convoy za usiku una make sure taa zako zipo byee, wiper n wind screen ziwe in good shape, na ikibidi vaa night driving goggles...always KEEP A GOOD FOLLOWING DISTANCE, pointer aki brake ghafula kusimama LAZIMA nawe uwe in a position to stop sio kumgonga au kuingia porini
Toka igawa hadi tunduma hakuna barabara hapo, mshimo yakutosha na ina magema ya kutosha, kama ni mgeni wa njia hiyo sikushauri uzidi 120kmph
 
Back
Top Bottom