Ni kweli mkuu ahsante kwa ushauri, sisi wa convoy za ITs hapo ni moto tena moto mkubwa, 0500am hodi tunduma borderToka igawa hadi tunduma hakuna barabara hapo, mshimo yakutosha na ina magema ya kutosha, kama ni mgeni wa njia hiyo sikushauri uzidi 120kmph
Wazee wa ligi
View attachment 2332302
I love that, we race, but a clean race!Wazee wa ligi
View attachment 2332302
Yeah nhe huyu mkuu anapenda ligi, ngoja tutamtafuta aje kwenye ligi ya T1 ,sifa zake;warm up kutoka Dar hadi Moro, yaani Dar kuondoka 14:00na kuingia Moro 18:00,mwendo Safi, bila fine ila una pasha moto tyres!,19:00 convoy na ITs zinaanza ,pit stop ya kwanza ipogolo then ni moto mkubwa,0500am ,Good morning TundumaHa ha ha atakuwa na ligi kila siku maana Bongo hata mtaani kwenu kuna mtu anakuovateki.
Kumbe ndio utaratibu. Ndio maana Dar Moro huwa nawaona IT mpaka najiuliza hawa hizi mbio wanazosifiwa ziko wapi? Kumbe mnafanya warm upYeah nhe huyu mkuu anapenda ligi, ngoja tutamtafuta aje kwenye ligi ya T1 ,sifa zake;warm up kutoka Dar hadi Moro, yaani Dar kuondoka 14:00na kuingia Moro 18:00,mwendo Safi, bila fine ila una pasha moto tyres!,19:00 convoy na ITs zinaanza ,pit stop ya kwanza ipogolo then ni moto mkubwa,0500am ,Good morning Tunduma
Yes mkuu ni kama kwenye F1,tyres temperature ni muhimu halafu IT driver unakwenda na tight budget means huwezi kutupa tu fedha yako, na no needs to rush kuingia Moro wakati ligi ipo usiku, ila zikitoka pale msamvu mkuu ni moto hasa,slow down kidogo Doma, mbugani pale then mzunguko wa pale mikumi, zikiinuka ule mlima wa mikumi ni concentration ya hali ya juu,always remember breaking point za slow corners na fast one,force's zote ujue kucheza nazoKumbe ndio utaratibu. Ndio maana Dar Moro huwa nawaona IT mpaka najiuliza hawa hizi mbio wanazosifiwa ziko wapi? Kumbe mnafanya warm up
Halafu kuna ule utaratibu gari ikifika kutoka Japan watu huwa wanabadili tairi wakisema hazifai(huwa sibadili). Je IT nao hufanya hivyo?Yes mkuu ni kama kwenye F1,tyres temperature ni muhimu halafu IT driver unakwenda na tight budget means huwezi kutupa tu fedha yako, na no needs to rush kuingia Moro wakati ligi ipo usiku, ila zikitoka pale msamvu mkuu ni moto hasa,slow down kidogo Doma, mbugani pale then mzunguko wa pale mikumi, zikiinuka ule mlima wa mikumi ni concentration ya hali ya juu,always remember breaking point za slow corners na fast one,force's zote ujue kucheza nazo
Inategemeana,ila wengi wanaona ni bora wabadilishe tyres ili ziendane na weather ya hapa, tyres ni muhimu mno kwa hizi road tripsHalafu kuna ule utaratibu gari ikifika kutoka Japan watu huwa wanabadili tairi wakisema hazifai(huwa sibadili). Je IT nao hufanya hivyo?
[emoji81][emoji81]Wazee wa ligi
View attachment 2332302
Ni kweli ligi huwa zinaanzia msamvu hapo ila Wale jamaa iT kiboko sema kama una chombo cha kueleweka barabara unaijua vizuri wao ndo wanasanda.Yeah nhe huyu mkuu anapenda ligi, ngoja tutamtafuta aje kwenye ligi ya T1 ,sifa zake;warm up kutoka Dar hadi Moro, yaani Dar kuondoka 14:00na kuingia Moro 18:00,mwendo Safi, bila fine ila una pasha moto tyres!,19:00 convoy na ITs zinaanza ,pit stop ya kwanza ipogolo then ni moto mkubwa,0500am ,Good morning Tunduma
Hii barabara huwezi kukumbia na gari maana wakazi wa huko muda mwingi wanapenda kushinda pembezoni mwa barabara plus waendesha baiskeli(sio pikipiki) na ng'ombe wanaachiwa tu... ila ni mkeka mzuri sana njia panda ipinda to matema...Kuna watu mtawaonea mkuu [emoji16] maana najua hakutakua na mwendo mdogo ni kupimiana tu Road.
Katoa angalizo mapema, ukiyakanyaga kinaumana😂😂😂Wazee wa ligi
View attachment 2332302
Yes mkuu zile ligi ni moto mno,ila sio za wenye mioyo yenye woga, one error mkuu kupona sio rahisi ila ndio kazi mkuuNi kweli ligi huwa zinaanzia msamvu hapo ila Wale jamaa iT kiboko sema kama una chombo cha kueleweka barabara unaijua vizuri wao ndo wanasanda.
Umekiwasha kweli kweliHomeland from Chuga View attachment 2332586
Matema beach ni pazuri kwakweliHii barabara huwezi kukumbia na gari maana wakazi wa huko muda mwingi wanapenda kushinda pembezoni mwa barabara plus waendesha baiskeli(sio pikipiki) na ng'ombe wanaachiwa tu... ila ni mkeka mzuri sana njia panda ipinda to matema...
Mikwara kama anajiweza vile. (MANDONGA)Wazee wa ligi
View attachment 2332302