Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa Road trip,nina jamaa yangu ana gari (Sienta) anataka aingize kwenye kampuni yoyote ili awe ana escort magari yenye mizigo isiyo ya kawaida kama vile mizigo mipana au mirefu (ABNORMAL) Je ? ni hatua zipi anatakiwa azifuate?
Kwa wajuzi wa hili naomba tujuzane wakuu.
[emoji120]
 
Ha ha ha atakuwa na ligi kila siku maana Bongo hata mtaani kwenu kuna mtu anakuovateki.
Yeah nhe huyu mkuu anapenda ligi, ngoja tutamtafuta aje kwenye ligi ya T1 ,sifa zake;warm up kutoka Dar hadi Moro, yaani Dar kuondoka 14:00na kuingia Moro 18:00,mwendo Safi, bila fine ila una pasha moto tyres!,19:00 convoy na ITs zinaanza ,pit stop ya kwanza ipogolo then ni moto mkubwa,0500am ,Good morning Tunduma
 
Kumbe ndio utaratibu. Ndio maana Dar Moro huwa nawaona IT mpaka najiuliza hawa hizi mbio wanazosifiwa ziko wapi? Kumbe mnafanya warm up
 
Yes mkuu ni kama kwenye F1,tyres temperature ni muhimu halafu IT driver unakwenda na tight budget means huwezi kutupa tu fedha yako, na no needs to rush kuingia Moro wakati ligi ipo usiku, ila zikitoka pale msamvu mkuu ni moto hasa,slow down kidogo Doma, mbugani pale then mzunguko wa pale mikumi, zikiinuka ule mlima wa mikumi ni concentration ya hali ya juu,always remember breaking point za slow corners na fast one,force's zote ujue kucheza nazo
 
Halafu kuna ule utaratibu gari ikifika kutoka Japan watu huwa wanabadili tairi wakisema hazifai(huwa sibadili). Je IT nao hufanya hivyo?
 
Yeah nhe huyu mkuu anapenda ligi, ngoja tutamtafuta aje kwenye ligi ya T1 ,sifa zake;warm up kutoka Dar hadi Moro, yaani Dar kuondoka 14:00na kuingia Moro 18:00,mwendo Safi, bila fine ila una pasha moto tyres!,19:00 convoy na ITs zinaanza ,pit stop ya kwanza ipogolo then ni moto mkubwa,0500am ,Good morning Tunduma
Ni kweli ligi huwa zinaanzia msamvu hapo ila Wale jamaa iT kiboko sema kama una chombo cha kueleweka barabara unaijua vizuri wao ndo wanasanda.
 
Kuna watu mtawaonea mkuu [emoji16] maana najua hakutakua na mwendo mdogo ni kupimiana tu Road.
Hii barabara huwezi kukumbia na gari maana wakazi wa huko muda mwingi wanapenda kushinda pembezoni mwa barabara plus waendesha baiskeli(sio pikipiki) na ng'ombe wanaachiwa tu... ila ni mkeka mzuri sana njia panda ipinda to matema...
 
Homeland from Chuga
IMG-20220626-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom