Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Jamaa alishangaa mmewahi kufika kuliko anavyoendaga yeye
 
Siku moja utakutana na kichaa ndani ya manuaal 1GD ndio utaelewa kinachoongelewa humu
1KD tuu inatosha, kama gari inaweza kufika speed 200 sasa kwa barabara zetu utaachwa na gari ngapi zaidi ni kuwa labda hizo za europ zenye 260 na hauwezi kuifikia hiyo speed kwa barabara zetu mimi najilipua sana kufika 200 iwe kuna sababu maalum au aina ya kazi iliyohitajika kwa wakati huo.
 
Mzee huupendi mluzi ule ndio kiboko ya road trips πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Inapiga mluzi ipo pale pale tuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuna siku nilishwai kuchapa ligi na hiyo gari ndio nika ziondolewa nyota πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nilikuwa nazikubali sana, ila siku hiyo nikaona hamna kitu hapa
 
D4D nenda nayo kwenye miradi boss ukija kwenye ligi tutakunyoosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…