Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna siku nilipanda IT , jamaa nahisi alikuwa kachoka, tulikuwa wawili tu akaniambia mwana unajua kuendesha gari , nikamuambi kimtindo.. akaniachia chuma 😀😀😀 niliwasha moto jamaa hakuamini, akasema ikitokea mchongo nitakuunganisha uje u push hizi IT.. nachopendea gari zinazopita hapa nyingi zipo na hali nzuri sana tofauti na tunazobaki nazo
Jamaa alishangaa mmewahi kufika kuliko anavyoendaga yeye
 
Siku moja utakutana na kichaa ndani ya manuaal 1GD ndio utaelewa kinachoongelewa humu
1KD tuu inatosha, kama gari inaweza kufika speed 200 sasa kwa barabara zetu utaachwa na gari ngapi zaidi ni kuwa labda hizo za europ zenye 260 na hauwezi kuifikia hiyo speed kwa barabara zetu mimi najilipua sana kufika 200 iwe kuna sababu maalum au aina ya kazi iliyohitajika kwa wakati huo.
 
D4D nenda nayo kwenye miradi boss ukija kwenye ligi tutakunyoosha.
 
Back
Top Bottom