Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Jamaa alishangaa mmewahi kufika kuliko anavyoendaga yeyeKuna siku nilipanda IT , jamaa nahisi alikuwa kachoka, tulikuwa wawili tu akaniambia mwana unajua kuendesha gari , nikamuambi kimtindo.. akaniachia chuma 😀😀😀 niliwasha moto jamaa hakuamini, akasema ikitokea mchongo nitakuunganisha uje u push hizi IT.. nachopendea gari zinazopita hapa nyingi zipo na hali nzuri sana tofauti na tunazobaki nazo