Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwamba hatujui average speed ni nini?

Au ni wewe hujamuelewa?
Kwani kubadilisha average ndio muda wote unatembea speed hiyo?

Kilomita kumi tuu ukitembea speed yoyote inakuwekea average yako.

Si kwamba muda wote unatembea 160 au 40 kwa muda mrefu na ndio maana nikasema hapo ukiwa speed za juu hauwezi kuweka simu muda wote mkononi na bahati mbaya sikuweka ijirekodi yenyewe. Nachokifanya huwa naingia kwenye ap mara moja moja na kutoka hizo km unazoona sio safari nzima.
 
Mkuu max yako 160kph, avarage yako 70kph umecover vipi 660km kwa masaa 6? Gage yako ingeonesha average speed 110kph na trust me max speed ingekuwa 180kph hata mara moja.
NB: Nimetumia data za picha uliotuma.
Jamaa anafikiri kudanganya watu wote kwa wakati mmoja ni kitu rahisi sana,watu kama hawa kwakuwa wana lengo la kuchangamsha kijiwe ni wakuwapuuza tu .
Bahati nzuri nimetembea huko kote Sirari,Tarime,Nyamongo ,Musoma yote naijua,hivyo unamuacha tu.
 
660km uzikate kwa masaa sita braza barabara yenyewe kutoka Singida uitafute Igunga kichomi tu kuna hadi lami nyekundu mzee babah?
Kutoka Mwigumbi uianze kuitafuta Maswa diversion ndefu mbili,...
Kwamba kwa haraka haraka average ilikuwa 110km/hr constantly?????
Braza umeupigia nje brother umekuwa wa kurusha sasa
 
Hiyo 160 ndio top bahati mbaya wakati na screen shot hiyo nilikuwa speed hiyo unayoiona ya 89 na muda mrefu ninapokuwa mwendo wa zaidi ya 140 kwanza siwezi kuwa na kitu natazama pembeni au kushika simu na ku screen shot.
Top speed 160kph
Current speed 89kph
Average speed 69.9
 
Inawezekana, inategemea anaendesha chombo anataka nini na mda gani. Experience yako sio lazima iwe experience ya kila mtu.
 
Top speed 160kph
Current speed 89kph
Average speed 69.9
Ni rekodi ya muda mfupi tu ambao naingia kwenye app na kutoka hivyo si kama safari yote inakuwa mwendo ni huo huo wa 69 avrg.

Mfano hapa niliingia barabarani itanipasa top speed na avrg ni ngapi ata na nitakuonesha baada ya hii screen shot uon
 

Attachments

  • Screenshot_2022-08-24-11-55-20-370_com.discipleskies.android.speedometer.jpg
    132.5 KB · Views: 16
Jamaa anafikiri kudanganya watu wote kwa wakati mmoja ni kitu rahisi sana,watu kama hawa kwakuwa wana lengo la kuchangamsha kijiwe ni wakuwapuuza tu .
Bahati nzuri nimetembea huko kote Sirari,Tarime,Nyamongo ,Musoma yote naijua,hivyo unamuacha tu.
Safari ya sirari si mwaka huu mwaka jana mwezi wa 2 hiyo ya 160 unayoiona ni kutoka kahama to dar.
Nimekuonesheni hiyo ndio mwendo ninaotumia mara kwa mara kwa gari ninayo kuwanayo.

Najua huko kutoka mwigumbi kwenda bariadi barabara imeharibika, nimepita hiyo barabara ikiwa imefunguliwa mwaka jana mara nne masaa ni hayo hayo. Hatuwezi kuweka magari wazi humu au kazi iliyokwenda kufanyika huko.

Ila tu usione huo mwendo wa ajabu kwa gari isiyokuwa na vizuizi barabarani.
 
Hahahah alichoka bila chaka, ukishaanza kutoka nje ya chaki bora upaki ulale tu.
Ni kweli mkuu always uendeshaji hasa wa usiku pamoja kuwa kunahitajika uzoefu pia ni muhimu to listen your body, ukishaona umeanza mara kushika kichwa, mara unaona mitaa yenye taa porini, miayo mingi, breaks za ajabu PLS PARK AND REST, ukilazimisha wewe unakua sio dereva tena ,never allow to be a passenger wakati upo behind wheels, ndio maana usiku tembea in a convoy maana inakufanya uwe active na busy, maana kwanza lazima uone pointer amepita upande gani wa barabara, following distance, mziki pekee wa kuusikiliza ni ule unaotoka chini ya bonnet, sio mziki mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…