b4theg
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 356
- 1,208
Kesho napiga trip ya Arusha.
Nataka ondoka sa 8 mchana, mdogomdogo mwendo wa kifaza.
Nimeazima mjerumani VW Tiguan, 2.0L 6 speed Manual,
Nione flavour ya mzungu safarini.
Mkuyu ulifika salama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho napiga trip ya Arusha.
Nataka ondoka sa 8 mchana, mdogomdogo mwendo wa kifaza.
Nimeazima mjerumani VW Tiguan, 2.0L 6 speed Manual,
Nione flavour ya mzungu safarini.
Mkuu ulifika salama?
Mara hii?!!Mashujaa hotel kwaajili ya kupooza njaa...View attachment 2335503
Pole sana mkuu, hii Tyre umeibadilisha?maana road trip tyres mkuu ni critical thing, never compromise kuhusu tyres, maana ndio contact kati ya gari na barabaraBampa la mbele kulia liliachia likaanza kula tyre.
Pamenipotezea muda wangu hapo... maana leo nimejipanga kwa 160/170kphView attachment 2335508
Tairi huna hapo,kuwa makini kabla hujabadilisha.Bampa la mbele kulia liliachia likaanza kula tyre.
Pamenipotezea muda wangu hapo... maana leo nimejipanga kwa 160/170kphView attachment 2335508
Lindi moja hiyoTairi huna hapo,kuwa makini kabla hujabadilisha.
Sijabadili mkuu... nimeosha torch 3, haina kusimamaPole sana mkuu, hii Tyre umeibadilisha?maana road trip tyres mkuu ni critical thing, never compromise kuhusu tyres, maana ndio contact kati ya gari na barabara
Aiseee mbona unafagia hivyo mkuu[emoji15]Lindi moja hiyoView attachment 2335601
Kitu cha kwanza naogopa kwenye gari ni tairi 🫣🫣 nikiona ina mushkeli hata kidogo ni bora nisifanye safari hadi zibadilishwe.. nikikaribu kuendesha nakosa amani kabisa mda wote naona inapasukaTairi huna hapo,kuwa makini kabla hujabadilisha.
Safari nje ya mkoa hutakiwi kubahatisha kwenye matairiKitu cha kwanza naogopa kwenye gari ni tairi 🫣🫣 nikiona ina mushkeli hata kidogo ni bora nisifanye safari hadi zibadilishwe.. nikikaribu kuendesha nakosa amani kabisa mda wote naona inapasuka
Duh na hapo tairi ya mbele imelika 😎😎Lindi moja hiyoView attachment 2335601
Uko kama mimi tyre it's on top of my listKitu cha kwanza naogopa kwenye gari ni tairi 🫣🫣 nikiona ina mushkeli hata kidogo ni bora nisifanye safari hadi zibadilishwe.. nikikaribu kuendesha nakosa amani kabisa mda wote naona inapasuka
Speed imekuweka upande wa pili wa barabara, yes mkuuLindi moja hiyoView attachment 2335601
Interesting gearing... 170kmph at 2500rpmLindi moja hiyoView attachment 2335601
Hapo nilikanyaga mkuu....Kainua mguu huyo