ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Ndio maana kila mtu namuita mkuu tu. Ona sasa nimechemkaHuyo ni dada mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kila mtu namuita mkuu tu. Ona sasa nimechemkaHuyo ni dada mkuu.
Pia zipo hari za petrol zenye Torque kubwa kuliko diesel napo unasemaje hapoWa diesel hachomi kama wewe mwenye petrol😂 japo at start unaweza kumfua ila high end torque ya diesel lazma iku show.
Nasema tuendelee kujifukiza na kuvaa barakoaPia zipo hari za petrol zenye Torque kubwa kuliko diesel napo unasemaje hapo
😀😀😀 nilikutana na mwamba na SVR yake kaipaki mahala kalala ile siku narudi nae alikuwa anaenda site , itakuwa usingizi ulimkaba njiani maana mwana huwa anapenda night tripNasema tuendelee kujifukiza na kuvaa barakoa
Hahahah alichoka bila chaka, ukishaanza kutoka nje ya chaki bora upaki ulale tu.😀😀😀 nilikutana na mwamba na SVR yake kaipaki mahala kalala ile siku narudi nae alikuwa anaenda site , itakuwa usingizi ulimkaba njiani maana mwana huwa anapenda night trip
Usingizi nomaHahahah alichoka bila chaka, ukishaanza kutoka nje ya chaki bora upaki ulale tu.
😀😀😀😀 bovu hilo alisikika mjapan kutoka dar es salaamHali ngumu sana mjini
View attachment 2333311
Kwani kubadilisha average ndio muda wote unatembea speed hiyo?Kwamba hatujui average speed ni nini?
Au ni wewe hujamuelewa?
Jamaa anafikiri kudanganya watu wote kwa wakati mmoja ni kitu rahisi sana,watu kama hawa kwakuwa wana lengo la kuchangamsha kijiwe ni wakuwapuuza tu .Mkuu max yako 160kph, avarage yako 70kph umecover vipi 660km kwa masaa 6? Gage yako ingeonesha average speed 110kph na trust me max speed ingekuwa 180kph hata mara moja.
NB: Nimetumia data za picha uliotuma.
Top speed 160kphHiyo 160 ndio top bahati mbaya wakati na screen shot hiyo nilikuwa speed hiyo unayoiona ya 89 na muda mrefu ninapokuwa mwendo wa zaidi ya 140 kwanza siwezi kuwa na kitu natazama pembeni au kushika simu na ku screen shot.
Inawezekana, inategemea anaendesha chombo anataka nini na mda gani. Experience yako sio lazima iwe experience ya kila mtu.660km uzikate kwa masaa sita braza barabara yenyewe kutoka Singida uitafute Igunga kichomi tu kuna hadi lami nyekundu mzee babah?
Kutoka Mwigumbi uianze kuitafuta Maswa diversion ndefu mbili,...
Kwamba kwa haraka haraka average ilikuwa 110km/hr constantly?????
Braza umeupigia nje brother umekuwa wa kurusha sasa
kuna vipande na mazingira na mda kupata wastani wa 100kph ni ngumu kabisa, na kuna mda na mazingira wastani wa 100kph ni kufikiaTop speed 160kph
Current speed 89kph
Average speed 69.9
Labda apewe shetani kabisa.[emoji23]Gari ina weight kubwa sana na 201HP from a 2.4L engine. Hata akae kichaa gani ni anaachwa ndani ya dakika 2 za ligi kuanza
Ni rekodi ya muda mfupi tu ambao naingia kwenye app na kutoka hivyo si kama safari yote inakuwa mwendo ni huo huo wa 69 avrg.Top speed 160kph
Current speed 89kph
Average speed 69.9
Safari ya sirari si mwaka huu mwaka jana mwezi wa 2 hiyo ya 160 unayoiona ni kutoka kahama to dar.Jamaa anafikiri kudanganya watu wote kwa wakati mmoja ni kitu rahisi sana,watu kama hawa kwakuwa wana lengo la kuchangamsha kijiwe ni wakuwapuuza tu .
Bahati nzuri nimetembea huko kote Sirari,Tarime,Nyamongo ,Musoma yote naijua,hivyo unamuacha tu.
Ni kweli mkuu always uendeshaji hasa wa usiku pamoja kuwa kunahitajika uzoefu pia ni muhimu to listen your body, ukishaona umeanza mara kushika kichwa, mara unaona mitaa yenye taa porini, miayo mingi, breaks za ajabu PLS PARK AND REST, ukilazimisha wewe unakua sio dereva tena ,never allow to be a passenger wakati upo behind wheels, ndio maana usiku tembea in a convoy maana inakufanya uwe active na busy, maana kwanza lazima uone pointer amepita upande gani wa barabara, following distance, mziki pekee wa kuusikiliza ni ule unaotoka chini ya bonnet, sio mziki mwingine!Hahahah alichoka bila chaka, ukishaanza kutoka nje ya chaki bora upaki ulale tu.
Hapo uliwanyooshaCrown tu mzee [emoji3][emoji3]