Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kweli kifaza, muhuni ilitakiwa saa 6 isome chuga, huo muda uliotoka ni mzuri sana kwa German machine.😂
Mkuu, Nashukuru Mungu nilifika salama,
Nilichelewa kuondoka not as planned.
Nimetoka posta sa 10 kasoro, hadi nafika bunju sa 11 na nusu.


Nimetembea mwendo wa kifaza max speed 120, nimeingia Arusha sa 8 usiku.
 
Naona jamaa wa GXR aliifurahia show, mwendo wa weka niweke tu[emoji23]
Hapo ilikuwa ni mwendo kuchoma mafuta tu, ilipigwa show ya kibabe sana... somanga pale tulisimama jamaa wa gxr akasema hapo mbele nakupoteza nikamwambia ok sawa... ila mwisho wa siku ilikuwa ni chupi na tako mwanzo mwisho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…