Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Wakuu leo nimetoka alfajiri safari ilikuwa kutoka Singida kwenda Mwanza then nirudi Kahama. Nilikuwa natembea 150kph ila baada ya kukaribia Nzega nikakuta Landcruiser Amazon imekulana na Raum zipo pemben ya road.
Asee ikanibidi niende kwa heshima zote.
 
Pole mkuu yes speed ni safi ila inakuja na responsibility kubwa, muhimu ni kufika salama anakokwenda
 
Wanachangamsha soko la pickup [emoji23][emoji23][emoji23][emoji37],,, Nafikiri malengo ni kuwawezesha ma injinia wazembe waweze kuwahi site haraka iwezekanavyo kabla ya boss akiwa anaelekea site.
Hizo gari ni kwa big money guys sio za shamba ila ni kama vile vifaa vidogo vidogo yani anatupiamo injini ya boti ndogo hapo akiwa anenda mtoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa nao wana mambo ya ajabu. Pick up kazi yake kuu kubeba tools na vitu kama hivyo, sasa ma HP yote hayo ya nini?
Pick up sasa hivi nyingi ni zimechangamka kwenye mwendo na ndio maana nyingi ziko 200km/h au zaidi wakati sedan nyingi hasa za japan ni 180km/h,zamani hilux 2.8 3L ilionekana ina ubavu huku mshale ukigota 160!
 
Habari za wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake , magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka 10 kwa mazingira yetu ya tanzania?

NB: SIjawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini kuliko IST, je na huu ugeni ninunue au nitakuwa nimejipa ugonjwa moyo?
 
Nununua tu mengine utakabiliana nayo yakianza jitokeza
 
Hizi gari zisifahamu kabisa.
 
Nununua tu mengine utakabiliana nayo yakianza jitokeza
Kama unaagiza Japan sawa...
Kama unanunua kwa mtu sikushauri..
Mkononi kwa mtu tafuta gari linaloendana na hilo la Toyota.

Ila kama unaagiza Japa , mpaka lije lianze kukusunbua, utakuwa umeshajua ABC za gari na machimbo ya spea za Mazda...

Changamoto yake ni spea si kila mahali utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ