Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wanachangamsha soko la pickup 😂😂😂😖,,, Nafikiri malengo ni kuwawezesha ma injinia wazembe waweze kuwahi site haraka iwezekanavyo kabla ya boss akiwa anaelekea site.Hawa nao wana mambo ya ajabu. Pick up kazi yake kuu kubeba tools na vitu kama hivyo, sasa ma HP yote hayo ya nini?