Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huku ndipo maisha yanapoelekea..
Cha msingi kila mtu alipende sana gari alilonalo kwa sasa.

Dalili zinaonesha wazi kwa sasa wachache ndiyo watakuwa na uwezo wa kuagiza moja kwa moja kutoka Japan.

Picha ndiyo limeanza hivyo... sterling hata sijui ni nani wa hii movie..

Sukari bei elekekezi ya Srikali ilitamkwa 1800 kwa kila ila kwa sasa ni wastani wa 2400-2600 na watu wamezoea..

Mafuta ya kupikia sisemi neno

Cement nayo mambo siyo mabaya..

Kodi ya kitanda kwa Watalii....pamekucha huko..

Kodi ya magari inakuja juu

Uchumi unalenga vitu na si maisha ya watu wakati huo thamani ya Shilingi imelala kama hili doro hapa chini
 
Hapana mkuu usihofu. Hizi kodi za magari huwa wanaangalia yale yanayonunuliwa sana ndio wanapandisha lakini yapo mengine wanayaacha vile vile ndio na sisi wanyonge tunahamia huko.
 
Kuna Gari ilifanya ligi na nyie kweliiii


Wapi Germany machine waje watoe mitazamo yao hapa juu ya team cruiser V8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…