Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa wapenzi wa F1 weekend hii ni Monza, kama umepata ya kuwa na privilege ya kuangalia F1,jitahidi uangalie maana hapo ndio chance pekee ya kuona jinsi top drivers duniani wanavyoendesha kwa speed kali muda mwingine up to 300 km/h,la kujifunza hapa ni kuangalia breaking zones kwenye slow na fast corners, kuendesha kwa kutumia driving line SIO barabara (ndani ya barabara kuna driving line)
 
Haina Shaka mkuu.
 
Naifuatilia F1 msimu mzima. Last week tulikuwa Dutch. Kama kawa Verstapen akakiwasha.

Binafsi naipenda Redbull Racing Team.
 
Naifuatilia F1 msimu mzima. Last week tulikuwa Dutch. Kama kawa Verstapen akakiwasha.

Binafsi naipenda Redbull Racing Team.
Welldone mkuu bila shaka mwaka huu ni wenu kwenye driver's champion 🏆 na construction championship, Red bull mpo Safi mimi ni Ferrari team, hope's tutakua tupo nyumbani na zile straight lines za Monza zitatusaidia, Bad news inaonekana Africa bado haijawa tayari to host F1
 
It's boring now, Mad max anashinda kila race hata akitokea P14
 
South Africa wana kiwanja chao tayari.

Msimu ujao wataenda cheza mechi 1 huko.
 
It's boring now, Mad max anashinda kila race hata akitokea P14
Mwendo wa kupokezana vijiti.

Kuna wakati Lewis alikuwa anachukua almost kila race mpaka wakamchoka.

Sahivi anakutana na ushindani wa hatari. Hata team mate wake Russel nae anaanza kumuacha mbali kidogo.

Ferrari wana vijana hatari Charles Lecrec na Carlos Sainz. Hawa ndo nawaogopa kwa sasa ila Redbull tupo njema podium lazima tupande kila mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…