Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni salama zaidi kusafiri mchana. Watu wanapenda kusafiri usiku si kwasababu ya usalama, sababu kubwa ni kukwepa usumbufu wa speed limits na tochi mida ya mchana
Yes mkuu na motor ina perform vema usiku, cool temperature na tyres na pia kwa driver unakua more concentrated kuona ya mbele ambako unaongozwa na lights zako, mchana mara pisi kali imekatiza na macho yatageuka ti kuangalia,just imagine upo 120km/hr na untangling pisi kali kwa 5s, meters kibao unakua ume cover huku ukiwa ni passenger sio dreva!
 
Jana Dar ~ Moro ~ Dom ilikua busy sana, convoys za hapa na pale za kutosha, pia observed breakdowns nyingi kidogo sijui ndio wengi walisha vyuma bila proper checks after kukosa tickets kupeleka watoto shule au la?
 
560
IMG-20220829-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mkuu na motor ina perform vema usiku, cool temperature na tyres na pia kwa driver unakua more concentrated kuona ya mbele ambako unaongozwa na lights zako, mchana mara pisi kali imekatiza na macho yatageuka ti kuangalia,just imagine upo 120km/hr na untangling pisi kali kwa 5s, meters kibao unakua ume cover huku ukiwa ni passenger sio dreva!
Usiku naendesha kwa dharula sana, ila nachofanya safari huwa naanza alafajiri saa 10, huwa mda huu hewa ya baridi road ya baridi kufikia saa 3 asubuhi huwa nipo nusu ya safari na kwa maneno mengine nimefika napo enda
 
Nakubaliana nawe mkuu,hili la kuendesha usiku au mchana linategemeana na mazingira na weather, Tanzania hasa T1 uendeshaji wa usiku unahitaji umakini sana,Zambia ni muhimu kutoka nakonde hadi mpika uendeshe mchana, mpika hadi borders za Zambia na Zim au Botswana nite driving ni safi, Namibia,Botswana nite driving ni super, SA nite driving ni safi ILA usipate pacha au break down maana ukifikwa na haya hasa usiku mmmmmm, no risk kubwa mno
 
Anything kinatokea uwapo na chombo cha moto, ni vyema ku rate usiku na mchana.. Nilishalala porini kishenzi na hakuna gari ilijaribu simama ili kuwa ni sehemu hatari... Nilichofanya nilijiweka fit kwa lolote litalo tokea
 
Back
Top Bottom