Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Road ya kwenda ziwa Nyasa nice for Vacation kuna view nzuri za safu za milima panapendeza. Nilikua huko na familia tunabarizi kidogo
20220826_133024.jpg
 
Pamejengwa jengwa mkuu sijui ww labda ulipaachaje maybe mimi sikuwahi kupaona kabla. Tulipita kwa mbali like kuview then tulielekea njia nyingine
Pamejengwa sana tu kwa sisi ambao tumeishi miaka ya 90..... maana Enzi hizo ofisi za hapo zilikuwaga ni zile zimejengwa kwa mbao, baade miaka ya 2000+ ndo wakajenga hilo jengo ambalo lilikuwa linafanana kidogo na lile na upande wa malawi kabla ya kujenga hii ya sasa... japo wapo slow sana ila pamekuwa pazuri sana kwa sisi ambao tumeishi hapo.... wasalimie matenki hapo na kwa maganga..... (tulikuwa vijana wa kota enzi hizo)
 
Ilikua ni sfr ya kupita tuu mkuu..Asante kwa ufafanuzi maendeleo yanakuja japo mdogo mdogo si haba. Tulienda enzi hizo wkt niko sekondari miaka ya 2000 palikua si pabaya ila kwa sasa pamejengeka zaidi.
 
Back
Top Bottom