Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nissan wanatoa y63 lakini haina maajabu, hapa 300 series Toyota atasumbua kwa muda mrefu sana
1662640292706.png


Sema kimuonekano wameumua wameboresha y62
 
GR-Sport nimezipenda zilivyo kaa, kuna moja ndio wameweka kabisa vimulimuli.. Nahisi soon tutaziona kwenye msafara wa bi mdash
Ile mashine unajua ndio ina 41OHP sipati picha wahuni watakavyokuwa wanapasuka highway 😂 halafu imekaa kibabe sana. Rim tu ndo naona walizengua kuweka..Rim zake sio kali kama za VX-R
 
Back
Top Bottom