Definitely mkuu msimu huu mna gari nzuri na bahati ipo upande wenu, Ferrari kuna races 🏁 🏎 ila tukaboronga, sometimes with wrong mbinuMwendo wa kupokezana vijiti.
Kuna wakati Lewis alikuwa anachukua almost kila race mpaka wakamchoka.
Sahivi anakutana na ushindani wa hatari. Hata team mate wake Russel nae anaanza kumuacha mbali kidogo.
Ferrari wana vijana hatari Charles Lecrec na Carlos Sainz. Hawa ndo nawaogopa kwa sasa ila Redbull tupo njema podium lazima tupande kila mechi.