Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwendo wa kupokezana vijiti.

Kuna wakati Lewis alikuwa anachukua almost kila race mpaka wakamchoka.

Sahivi anakutana na ushindani wa hatari. Hata team mate wake Russel nae anaanza kumuacha mbali kidogo.

Ferrari wana vijana hatari Charles Lecrec na Carlos Sainz. Hawa ndo nawaogopa kwa sasa ila Redbull tupo njema podium lazima tupande kila mechi.
Definitely mkuu msimu huu mna gari nzuri na bahati ipo upande wenu, Ferrari kuna races 🏁 🏎 ila tukaboronga, sometimes with wrong mbinu
 
Mbwewe hiyo mida ya saa moja na nusu, huoni mbele
20220908_073828.jpg
 
Back
Top Bottom