Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sio kweli. Mbona mm mlalahoi tu na nakomaa nao. Naina chombo yoyote [emoji23]
Ahsante mkuu umemjibu vema,tunamwomba asiwe na inferiority complex, wengi humu hatuna magari ila uzi huu upo live, yaani unapata informations ambazo zipo up to date, binafsi sijafika hasa hii kanda ya Kati na ziwa ila nimeelimika mno ,na siku nikijaliwa sitokua mgeni wa barabara na miji, wapi kwa kulala, wapi kwa kupata serengeti baridi etc etc
 
Himaya ya Mkwawa
IMG_20220908_133808_9.jpg
 
Ahsante mkuu umemjibu vema,tunamwomba asiwe na inferiority complex, wengi humu hatuna magari ila uzi huu upo live, yaani unapata informations ambazo zipo up to date, binafsi sijafika hasa hii kanda ya Kati na ziwa ila nimeelimika mno ,na siku nikijaliwa sitokua mgeni wa barabara na miji, wapi kwa kulala, wapi kwa kupata serengeti baridi etc etc
Huu uzi nmeanza kuufuatilia since day 1, na nilikuwa sina gari mpaka nmekuja kumiliki langu mwezi uliopita. ila ni mnazi mkubwa wa safari, mabasi na mambo ya barabarani. Umesaidia sana kunipa elimu za masuala ya barabarani, esp night driving nlikua na struggle sana na hio kitu but kuna mdau humu alitoa hints fulani hivi nimezi apply zimenisaidia ku-improve.
 
Wakuu habari asee nahitaji connection ya mtu mwenye Magari ya uhakika ninatenda mbali mbali ko gari yoyote tenda ninazo za uhakika
Safi na tenda zako mkuu ni za ndani ya nchi
Huu uzi nmeanza kuufuatilia since day 1, na nilikuwa sina gari mpaka nmekuja kumiliki langu mwezi uliopita. ila ni mnazi mkubwa wa safari, mabasi na mambo ya barabarani. Umesaidia sana kunipa elimu za masuala ya barabarani, esp night driving nlikua na struggle sana na hio kitu but kuna mdau humu alitoa hints fulani hivi nimezi apply zimenisaidia ku-improve.
Welldone mkuu, uzi huu ni uzi mama within JF, maana unapata informations za wakati huo, uzi huu una wadau wanasafiri sehemu mbalimbali na always wanajitahidi mno kutuelimisha, safari ya mdau ya Dar, Lindi, Songea to mbambay juzi kati ,alituma humu informations ambazo Nami nilijiona nasafiri naye, Welldone all wadau wa uzi huu.
 
Back
Top Bottom