Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
There is no way utatembea 136KMs kwa saa 1.
Hio Dar-Chalinze tu ni 102kms ila estimates ni 2hrs straight.
Mzee baba nishawahi tembea Dar Moro kwa saa 1 na dk 45 hivi, enzi hakuna hawa kunguru weupe kila mahali...