Matrecta na mapowertiller ndio yanatishia waendeshaji wa usiku hasa route ya sgd to Arusha unastuka hamad hili hapa[emoji17]Tractors usiku ni hatari sana. Hayana reflectors halafu yanatembea kama yamesimama.
Matrecta na mapowertiller ndio yanatishia waendeshaji wa usiku hasa route ya sgd to Arusha unastuka hamad hili hapa[emoji17]
But safety come first sir, Dar to Chalinze ni kama 100km,huu ni mwendo wa 45mins!Mimi huwa na kawaida ya kutaka kuvunja rekodi ya kutembea umbali fulani kwa muda mfupi zaidi...
Mfano kama safari ya Dar - Chalinze mwezi huu nikitumia saa 1.5, next time najiwekea nadhiri nitumie muda pungufu ya huo...
Hawajabandika reflectors nyuma ya vyombo hiviMatrecta na mapowertiller ndio yanatishia waendeshaji wa usiku hasa route ya sgd to Arusha unastuka hamad hili hapa[emoji17]
Hii ni hatari kubwa sana,ni lazima yawe na reflectors na kisheria hayaruhusiwi kuwa barabarani after 1800hrsTractors usiku ni hatari sana. Hayana reflectors halafu yanatembea kama yamesimama.
Wala hawana habare!Hawajabandika reflectors nyuma ya vyombo hivi
Mkuu ni ule mkeka wa runzewe - bwanga then chato?Ujapita kama unaenda chato kutokea kahama.. Ule mkeka achaaaa kabisaaaa.. Kitu kimenyooka barabara ni standard hasaa no tuta no shimo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] we jamaa hufai!!Nyuma imekaaje? Y62 inaboa kwa backside tu ni kama mtu kabana tako baada ya stiki kuingia vilivyo.
Thread ya maboss, sisi wa mikokoten huku shinyanga haituhusu kabsa.
Yes night driving mkuu ni super, zingatia miiko yake tu,taa ziwe Safi,wiper Safi,motor safi, na dreva pia uwe safi!ni moto tuIlikuwa saa nane usiku, no poti no nini.. Kibati kimoko tuu..
Ahsante mkuu umemjibu vema,tunamwomba asiwe na inferiority complex, wengi humu hatuna magari ila uzi huu upo live, yaani unapata informations ambazo zipo up to date, binafsi sijafika hasa hii kanda ya Kati na ziwa ila nimeelimika mno ,na siku nikijaliwa sitokua mgeni wa barabara na miji, wapi kwa kulala, wapi kwa kupata serengeti baridi etc etcSio kweli. Mbona mm mlalahoi tu na nakomaa nao. Naina chombo yoyote [emoji23]
Tanzania Hamna sheria inafuatwa na adhabu ni haziumiziHii ni hatari kubwa sana,ni lazima yawe na reflectors na kisheria hayaruhusiwi kuwa barabarani after 1800hrs
Sienta unachukua kwenye tenda zako.?Wakuu habari asee nahitaji connection ya mtu mwenye Magari ya uhakika ninatenda mbali mbali ko gari yoyote tenda ninazo za uhakika
Following....IST je?Sienta unachukua kwenye tenda zako.?
Huu uzi nmeanza kuufuatilia since day 1, na nilikuwa sina gari mpaka nmekuja kumiliki langu mwezi uliopita. ila ni mnazi mkubwa wa safari, mabasi na mambo ya barabarani. Umesaidia sana kunipa elimu za masuala ya barabarani, esp night driving nlikua na struggle sana na hio kitu but kuna mdau humu alitoa hints fulani hivi nimezi apply zimenisaidia ku-improve.Ahsante mkuu umemjibu vema,tunamwomba asiwe na inferiority complex, wengi humu hatuna magari ila uzi huu upo live, yaani unapata informations ambazo zipo up to date, binafsi sijafika hasa hii kanda ya Kati na ziwa ila nimeelimika mno ,na siku nikijaliwa sitokua mgeni wa barabara na miji, wapi kwa kulala, wapi kwa kupata serengeti baridi etc etc
Safi na tenda zako mkuu ni za ndani ya nchiWakuu habari asee nahitaji connection ya mtu mwenye Magari ya uhakika ninatenda mbali mbali ko gari yoyote tenda ninazo za uhakika
Welldone mkuu, uzi huu ni uzi mama within JF, maana unapata informations za wakati huo, uzi huu una wadau wanasafiri sehemu mbalimbali na always wanajitahidi mno kutuelimisha, safari ya mdau ya Dar, Lindi, Songea to mbambay juzi kati ,alituma humu informations ambazo Nami nilijiona nasafiri naye, Welldone all wadau wa uzi huu.Huu uzi nmeanza kuufuatilia since day 1, na nilikuwa sina gari mpaka nmekuja kumiliki langu mwezi uliopita. ila ni mnazi mkubwa wa safari, mabasi na mambo ya barabarani. Umesaidia sana kunipa elimu za masuala ya barabarani, esp night driving nlikua na struggle sana na hio kitu but kuna mdau humu alitoa hints fulani hivi nimezi apply zimenisaidia ku-improve.
Ungeainisha aina za gar unazoitaji mkuu!Zipo za ndani pia za nje