Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Lini hii mwana?Wale wazee wa rally watakuwa wanamjua huyu mchina dah!
Tunakumbushana tu wakati uko na mwendo lolote linaweza tokea
R.i.p Sun
Ova
View attachment 2353342View attachment 2353343View attachment 2353344View attachment 2353345
Nimeisikia hii.Wale wazee wa rally watakuwa wanamjua huyu mchina dah!
Tunakumbushana tu wakati uko na mwendo lolote linaweza tokea
R.i.p Sun
Ova
View attachment 2353342View attachment 2353343View attachment 2353344View attachment 2353345
Ni Tz au Congo? 🤭Lukumburu kuitafuta Kifanya.View attachment 2353006View attachment 2353000
Songea to njombe hiyo... (TZ)Ni Tz au Congo? [emoji2960]
Sasa mkuu unategemea ukite asilimia 95 ya gari za ulaya? Wakati bongo sidhani hata kama zinafika asilimia 5 ya gari zote.Kwa macho yangu ya kutembelea garage asilimia zaidi ya 95% nakuta na magari from japan mabovu yanatengezwa, kwa ufupi gari mbovu kabisa hapa nchini ni hao wajapan
Hata kwa asilimia 100% zilizopo bongo chache kuzikuta garage ingawa zipo. Na ndio maana hukuti zikiwa zimekatwa katwa tandale hata kwa huo uchacheSasa mkuu unategemea ukite asilimia 95 ya gari za ulaya? Wakati bongo sidhani hata kama zinafika asilimia 5 ya gari zote.
Upo sahihi mkuu, Tandale zipo za kutosha kabisa...Mkuu Tandale zipo. Tandale sio ubovu tu,nyingi za ajali.
Mbona hii T6 inaonekana ina mashimo mengi sana, pls mkuu tupo ukweliLukumburu kuitafuta Kifanya.View attachment 2353006View attachment 2353000
Songea-njombe ipo hivyo, wanaziba viraka kila siku. Na magari ya makaa yamechangia zaidi kuharibu hiyo barabara.Du inaonekana hii gari ime roll
Mbona hii T6 inaonekana ina mashimo mengi sana, pls mkuu tupo ukweli
Halafu tatizo jingine hatujui life span za hizi barabara, ilitakiwa ile lami iliyowekwa na Waingereza ibadilishwe, F1 Red bull car looks good,Max bado ananyanyasa hongera kwao,mimi Ferrari team mmmmm ni kugombania 2nd &3th places tuongeze construction pointsSongea-njombe ipo hivyo, wanaziba viraka kila siku. Na magari ya makaa yamechangia zaidi kuharibu hiyo barabara.
Ile barabara imeshachoka na pia haifai tena kwa nyakati hizi maana ni nyembamba, Waweke mkeka kama wa uyole-tukuyu-kasumulu... ule mkeka ni balaa sana japo una muda tangu umejengwa...Halafu tatizo jingine hatujui life span za hizi barabara, ilitakiwa ile lami iliyowekwa na Waingereza ibadilishwe, F1 Red bull car looks good,Max bado ananyanyasa hongera kwao,mimi Ferrari team mmmmm ni kugombania 2nd &3th places tuongeze construction points
Sanaaa mkuu na Ile Hali ya hewa pazuri Sana kule.Ile barabara imeshachoka na pia haifai tena kwa nyakati hizi maana ni nyembamba, Waweke mkeka kama wa uyole-tukuyu-kasumulu... ule mkeka ni balaa sana japo una muda tangu umejengwa...
Mashimo ni mengi na barabara ni nyembamba sana.Du inaonekana hii gari ime roll
Mbona hii T6 inaonekana ina mashimo mengi sana, pls mkuu tupo ukweli
Na lori zinazopita kila siku ndo zinaichosha kwa kasi ya 4G.Songea-njombe ipo hivyo, wanaziba viraka kila siku. Na magari ya makaa yamechangia zaidi kuharibu hiyo barabara.
Songea-njombe ipo hivyo, wanaziba viraka kila siku. Na magari ya makaa yamechangia zaidi kuharibu hiyo barabara.