Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Lukumburu kuitafuta Kifanya.
20220908_162955.jpg
20220908_172543.jpg
 
Songea-njombe ipo hivyo, wanaziba viraka kila siku. Na magari ya makaa yamechangia zaidi kuharibu hiyo barabara.
Halafu tatizo jingine hatujui life span za hizi barabara, ilitakiwa ile lami iliyowekwa na Waingereza ibadilishwe, F1 Red bull car looks good,Max bado ananyanyasa hongera kwao,mimi Ferrari team mmmmm ni kugombania 2nd &3th places tuongeze construction points
 
Ile barabara imeshachoka na pia haifai tena kwa nyakati hizi maana ni nyembamba, Waweke mkeka kama wa uyole-tukuyu-kasumulu... ule mkeka ni balaa sana japo una muda tangu umejengwa...
 
Back
Top Bottom