Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh wewe umeshindikana!

Aahahahahahahhhahahaa
Bataringaya banaa

Ndosi alininyoosha nikakaa sawa ila wahuni wa Azajangwa, Tambazana na Jiitewute walinikorogea bange kwenye soda besdei yangu ya miaka 18, tangu hapo nalipuliza aste aste.

Ila fresh tuu, kila nikivuta inateremkia kwenye via 🤪

Ikiteremka tuu napata stamina ya ajabu nakumbia kilomita 10 hadi 21 nonstop. Nikitoka hapo naoga nalala nikiamka nakuwa mpoleeee, mkimyaaa, adabu na heshima kama zote zikisindikizwa na tabasamu angavu lenye soni 😅

Matata K.
 
Aahahahahahahhhahahaa
Bataringaya banaa

Ndosi alininyoosha nikakaa sawa ila wahuni wa Azajangwa, Tambazana na Jiitewute walinikorogea bange kwenye soda besdei yangu ya miaka 18, tangu hapo nalipuliza aste aste.

Ila fresh tuu, kila nikivuta inateremkia kwenye via 🤪

Ikiteremka tuu napata stamina ya ajabu nakumbia kilomita 10 hadi 21 nonstop. Nikitoka hapo naoga nalala nikiamka nakuwa mpoleeee, mkimyaaa, adabu na busses kama zote zikisindikizwa na tabasamu angavu lenye soni 😅

Matata K.
Basi nitakubebea za kutosha hope zitatusaidia
 
Basi nitakubebea za kutosha hope zitatusaidia

Ooh asante sana double R, yaani ukileta hiyo itafuta deni la mabungo na sanvita kweli tena.

Ila tuu angalizo, nikitaka kukimbia km zangu 10 hadi 21 usinizuie tafadhali 🤪😅😅
Vinginevyo sitapoa 😝
 
Mmmhh kwanini hazitumiki, nimejaribu kuwaza ina maana hakuna plate inayosoma MVI..!!? Binafsi sijapishana na namba ya hivo ila sijajua sababu ni nini..!!
MUA je..!!? Itakuwa ilisajiliwa..!?

Kwahiyo ikifika usajili wa U hakutakuwa na USO...!🤔🤔😅😅😅
Hazitumiki kwasababu 0 inachanganya na O
1 na I
 
Mmmhh kwanini hazitumiki, nimejaribu kuwaza ina maana hakuna plate inayosoma MVI..!!? Binafsi sijapishana na namba ya hivo ila sijajua sababu ni nini..!!
MUA je..!!? Itakuwa ilisajiliwa..!?

Kwahiyo ikifika usajili wa U hakutakuwa na USO...!🤔🤔😅😅😅
Kwanza M hatujafika ndio Kwanza D. Tukifika M utakuwa unatembelea mkongojo!
 
Ooh asante sana double R, yaani ukileta hiyo itafuta deni la mabungo na sanvita kweli tena.

Ila tuu angalizo, nikitaka kukimbia km zangu 10 hadi 21 usinizuie tafadhali 🤪😅😅
Vinginevyo sitapoa 😝
Nitakusaidia kukimbia hizo 21km
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
If i could turn back the time...

Umri unavyoenda na majukumu yanavyoongezeka baadhi ya interests zinakufa; hauzi-enjoy tena hata kama unazimudu. Travelling was my biggest leisure na stress reliever, tena uwe na pisi kali ndani ya mnyama wa kijerumani halafu wala haukimbii, unawaangalia tu wajapani na cc zao elfu 1, elf2 wanakupita wanashangalia, unawaangalia unacheeka tu na pisi inakupiga-piga vikofi mgongoni, bhaasi raha mustarehe.

Kwa wale mnaweza na umri unaruhusu, enjoy to the fullest.
 
Kwanza M hatujafika ndio Kwanza D. Tukifika M utakuwa unatembelea mkongojo!

Aaahahahhahahaaa

Akili yangu imewaza DM huku neno ni MU 🤣🤣🤣🤣

Sitakubali kutembelea mkongojo nilivyo mbishi, ntakutafuta ulipo nikwambie twende nikupeleke mahali ila nakwambia sharti nikushike mkono. Kumbe ndo napata sapoti ya kutembea aahahahahahaaa

I don’t want to grow old 🤪.
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
Hapa bado pisi kali (mpya lakini)
20201216_135809.jpg
20201216_135042.jpg
 
Back
Top Bottom