Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aaahahahhahahaaa

Akili yangu imewaza DM huku neno ni MU 🤣🤣🤣🤣

Sitakubali kutembelea mkongojo nilivyo mbishi, ntakutafuta ulipo nikwambie twende nikupeleke mahali ila nakwambia sharti nikushike mkono. Kumbe ndo napata sapoti ya kutembea aahahahahahaaa

I don’t want to grow old 🤪.
Kila siku najiuliza why do we get old?!
 
If i could turn back the time...

Umri unavyoenda na majukumu yanavyoongezeka baadhi ya interests zinakufa; hauzi-enjoy tena hata kama unazimudu. Travelling was my biggest leisure na stress reliever, tena uwe na pisi kali ndani ya mnyama wa kijerumani halafu wala haukimbii, unawaangalia tu wajapani na cc zao elfu 1, elf2 wanakupita wanashangalia, unawaangalia unacheeka tu na pisi inakupiga-piga vikofi mgongoni, bhaasi raha mustarehe.

Kwa wale mnaweza na umri unaruhusu, enjoy to the fullest.
 
Mara moja moja unaweza kubeba na familia....ila ulivyoelezea ndio inavyokuwa kabisa!
 
Yaani, I want to stay where I am right now.

Siwezi acha mazoezi aiseeh na nina discipline ya mlo sana.

All in all Sir God is the judge at his right time.
Ha ha ha unahangaika kuzuia uzee! Utakuja tu, halafu kuna umri fulani mwaka tu unakuta mtu kazeeka kweli kweli
 
Nimekushindwa!

Looh Bataringaya, unaanzaje sasa kunishindwa kwa mfano....!!
Yaani umefeli kukimbia km 21....!???

kwahiyo ndo kusema hutokuja German air na misokoto yangu?
Hatutakuwa na car pace riding again to A Town..!??

Kama hivyo ndivyo deni la mabungo yangu na sanvita liko palepale ...🤨
 
Ha ha ha unahangaika kuzuia uzee! Utakuja tu, halafu kuna umri fulani mwaka tu unakuta mtu kazeeka kweli kweli

Yaani sijui kwanini....

Hii miili haina ushirikiano kabisa, ila dunia ina misukosuko mingi sana.

Tungeweza kuishi kwa asilimia 100 kama mtoto wa miaka 5 au 6 hakika tusingezeeka mapema.
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
Wekeza kwenye vitega uchumi wewe usije sumbua uzeeni, kama wewe ni mTanzania na mwana East Africa utakua na shida nyingi tu!! Shauli zako
 
Back
Top Bottom