Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku najiuliza why do we get old?!Aaahahahhahahaaa
Akili yangu imewaza DM huku neno ni MU 🤣🤣🤣🤣
Sitakubali kutembelea mkongojo nilivyo mbishi, ntakutafuta ulipo nikwambie twende nikupeleke mahali ila nakwambia sharti nikushike mkono. Kumbe ndo napata sapoti ya kutembea aahahahahahaaa
I don’t want to grow old 🤪.
Hapa bado pisi kali (mpya lakini)View attachment 1651529View attachment 1651532
If i could turn back the time...
Umri unavyoenda na majukumu yanavyoongezeka baadhi ya interests zinakufa; hauzi-enjoy tena hata kama unazimudu. Travelling was my biggest leisure na stress reliever, tena uwe na pisi kali ndani ya mnyama wa kijerumani halafu wala haukimbii, unawaangalia tu wajapani na cc zao elfu 1, elf2 wanakupita wanashangalia, unawaangalia unacheeka tu na pisi inakupiga-piga vikofi mgongoni, bhaasi raha mustarehe.
Kwa wale mnaweza na umri unaruhusu, enjoy to the fullest.
Aisee!
Mara moja moja unaweza kubeba na familia....ila ulivyoelezea ndio inavyokuwa kabisa!If i could turn back the time...
Umri unavyoenda na majukumu yanavyoongezeka baadhi ya interests zinakufa; hauzi-enjoy tena hata kama unazimudu. Travelling was my biggest leisure na stress reliever, tena uwe na pisi kali ndani ya mnyama wa kijerumani halafu wala haukimbii, unawaangalia tu wajapani na cc zao elfu 1, elf2 wanakupita wanashangalia, unawaangalia unacheeka tu na pisi inakupiga-piga vikofi mgongoni, bhaasi raha mustarehe.
Kwa wale mnaweza na umri unaruhusu, enjoy to the fullest.
Kila siku najiuliza why do we get old?!
Ha ha ha unahangaika kuzuia uzee! Utakuja tu, halafu kuna umri fulani mwaka tu unakuta mtu kazeeka kweli kweliYaani, I want to stay where I am right now.
Siwezi acha mazoezi aiseeh na nina discipline ya mlo sana.
All in all Sir God is the judge at his right time.
Nimekushindwa!
Ha ha ha unahangaika kuzuia uzee! Utakuja tu, halafu kuna umri fulani mwaka tu unakuta mtu kazeeka kweli kweli
Nazo zimeenda kwao mpendwaKwanini mpya? Chukua ulizokwisha zitumia.
I hope itakuwa ya kitabe sana, ninaanzia Marangu, Arusha, dodoma kisha ntarudi darDuh! Road trip ya kibabe....salute
Asante sana, hayo mekundu hamna kitu, amount sawa na hayo meupeHayo makaratasi meupe tuu ndo yatanifanya nikulaghai. Gari na hayo makaratasi mekundu na ya zambarau hayanisitui hata.
Enjoy your trip and stay safe.
Let’s meet 2021 healthy and sound.
Wekeza kwenye vitega uchumi wewe usije sumbua uzeeni, kama wewe ni mTanzania na mwana East Africa utakua na shida nyingi tu!! Shauli zakoMwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi,marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga,Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?
Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
3. Mfuko uwe na afya kidogo
All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747